Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenichekeshaaa daah..Ndio mambo ya ndugu Ryoba hayo🤣Wapenda Soka wote salaam.
Hivi hawa TBC mnawaelewa Ndugu zangu?.
Mbona ubora wa hii mechi wanayo onyesha upo Chini sana.
Kama ubora wa picha upo hivi basi hadi Kombe la Dunia liishe tutakuwa na Malienge.
Very poor quality of picture.
Aiseee, TV yako ina shida tuDah nilijua ni mimi tu. Wachezaji wanatembea kama umebonyeza forward kwenye deki za mikanda
Labda decorder, Tv ni state of the artAiseee, TV yako ina shida tu
Watu wafupi mambo yao huwa yalivyoMkuu umenichekeshaaa daah..Ndio mambo ya ndugu Ryoba hayo🤣
Acha uongo.Labda ni TV yako wanaonyesha kwa ubora wa hali ya juu
Hongereni TBC
Tafadhali usipotoshe