Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 331
- 383
Dogo ana pcb advance DCC kamaliza mwaka jana anataka kwenda lugalo clinical medicine wakuu mnasemaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaangalia tokeo la four sema la six ni added advantageDogo ana pcb advance DCC kamaliza mwaka jana anataka kwenda lugalo clinical medicine wakuu mnasemaje.
Naweza nikusaidie? njoo pmHabari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE
Vipi ni vyuo vitatu bora kwa kozi ya clinical medicine interms of ada,capacity ya watu wanaohitajika,ushindani kwenye ajira baadae.kutokana na uchumi wa hapa home kwa sasa tunaweza kuafford kufanya udahili kwenye vyuo vitatu tu(30,000/=) matokeo yangu ya kidato cha nne ni;
PHY-C
CHEM-C
BIO-B
MATH-C na yaliyobaki yaani KISW,GEO,HIST,CIV,ENGLISH yote ni C