Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Tukikwambia tu wew ututajie jina la Bibi yako mzaa bibi yako utatupiga kiswahili hapa.
Anyway subiri majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Tukikwambia tu wew ututajie jina la Bibi yako mzaa bibi yako utatupiga kiswahili hapa.
Anyway subiri majibu
Again, hii ni story ya Qur'an au Hadith tu (fantasy)....havina uhalisia wowote. Usipende sana kuamini hivi vitabu kwani vimetungwa na watu tu kama vile wewe na mimi kwa kusingizia Mungu.Ndugu zangu nyote hamjamboni?
Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake
Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe
Mungu awabariki Sana
✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?
*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?
*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?
*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake
*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?
Karibuni tujadili
Ndio walipo iga , hakuna maali pengine wala mtume yoyote wa biblia alidai alipwe kwanza kabla ya hudumaWe mokiti mpuuzi kweli .kwahiyo zumaridi na shillah ndio unawafananisha na hizo aya hapo juu????
Kwanini Quran haina majibu , mpaka watu wabunibuni? na mnatofautiana majina haijulikani lipi ni la kweliNi Yahya Alayhi salaam.
Huna unachojua ww unaokota okota tu.alafu unafanya kama hoja kumbe kichwani hamna kitu.unataka tu kudhihirisha ujinga wako mbele za watu.Ndio walipo iga , hakuna maali pengine wala mtume yoyote wa biblia alidai alipwe kwanza kabla ya huduma
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....