Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Mods wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana halafu muda mwingine ma threads ya hovyo na ya kizushi huwa wanayaacha tu.
Ya leo ni ya kizushi ndio maana wamefuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana halafu muda mwingine ma threads ya hovyo na ya kizushi huwa wanayaacha tu.
Kuna maning 'ining'i
Mimi pia! Ngumu kumkamata🤣😂😂😂 i have no idea kwa kweli
Siikumbuki hata kwa mbali...ajabu!!
Kwahiyo ni uzushi? Sijui kama namba yake alinitumia pm hebu nichekiYa leo ni ya kizushi ndio maana wamefuta
Ni wewe uliyeukatisha uhai wake au ni typo?Duh sonona imemshinda na nimeamua kuukatisha uhai wake.
Kwahiyo ni uzushi? Sijui kama namba yake alinitumia pm hebu nicheki
Namba yake inaita mbonamshamba_hachekwi eti aliyeleta taarifa ya kifo ni nani?
Namba yake inaita mbona
Taarifa hiyo inaangaliwa uthibitisho wake kabla ya kuruhusiwa
He is no more 😢Tunakutegemea kwenye hili mkuu
Naamini atapokea
Confirmed amefarikiTaarifa hiyo inaangaliwa uthibitisho wake kabla ya kuruhusiwa
Kuna mod nimemuona ameview profile ya mjasiri na mali means hata mods wenyewe hawana uhakika😂Labda ni uzushi
Muda wote huo? Wekeni dakika mpige namba yakeTaarifa hiyo inaangaliwa uthibitisho wake kabla ya kuruhusiwa
MZEE MKUBWAmshamba_hachekwi eti aliyeleta taarifa ya kifo ni nani?
Dah! Unachoma mafile ya watuConfirmed amefariki
Jina lake ni Kelvin Mbwambo
Namba : 0760555166