Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mkuu ilianza km picha gani hapo ili nikuseidie
Nimependa maandishi mekundu tu.Wapendwa katika BWANA ..
Ninatatizo kubwa sana na baya ambayo naanza kushindwa kutoka hata nje..!
Siku 2/3 hv zilizopita nilishikwa na ugonjwa flani hv upo kama wale mba wa mgongoni au usoni tofauti yake wao wanakuja moja kwa moja uso mzima maana mba huanza kamoja kamoja hadi zinajaa mwili..
Muonekano wangu umebadirika sana from Handsome to Ugly one nashindwa hata kutoka nje niangalie neema za Allah..
Zinawasha hafu sura inavimba kiasi flani..
Nikikumbuka huu ugonjwa utakua ulianza mwezi wa saba maana ulinishika baadhi ya washkaji from Bara wakaniambia ni MATANGO TANGO so nilinunua (ile unayopaka usoni saluni kisha unanawa baaada ya kusuguliwa) nikapewa na videnge kadhaa lkn sikupona...
Siku moja nikiwa mitaa ya FORODHANI ZENJI nikapata dawa flani inaitwa jiko la shamba nikaitumia ikanisaidia nikapoa..
Sasa wikii hii hawa mba/matangotango hata sijui wanaitwaje wameniamulia hakuna jiko la shamba wala la nyumbani ni muwasho na muonekano wa mamba..
Daaah wapendwa nisaidieni sana jina la dawa nitumie na bei zake au kama yawezekana nitengeneze mwenyewe..
Aksanteni sana ma GT wa Jf..
Wenu
Gentries
Mondray 2017
Mimi ni mwanaume usihadaike na Avatar...!
Weka picha tukusaidiecolin_morgan hao ulioweka hua wananza mmoja au wawili lkn wangu nililala nikakuta asubuhi wamejaa sura nzima kasoro juu ya nyusi..
Naomba nikumbuke kesho mkuuJaribu kukumbuka hizo dawa mkuu Nduki..