Wapendwa tujitahidi kuweka akiba, mwakani hali ni mbaya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Msidanganyike na hivi vishekeli vya sasa! Huu ndio msimu wake, upatipa haraka! Uchafuzi shekeli humwaga kila kona! Kibubu hutobolewa kabisa ili kupunguza kelele

Huu ni wakati wa ulaji.. Ni wakati wa upigaji ... Kama uchafuzi utafanikiwa.. Basi tambua hali ni tete mwakani
Tujiandae! Tufiche kidogo tusile chote.. Tujiandae kukimbiana mwakani.. Waliotukopesha hata kupitia harambee watataka za kwao za awali ndio zirudi kwanza

Kama kuna kamfereji umefanikiwa kukatega katafutie tank la akiba ili kiangazi kikija una pa kuhemea! Una pa kuponea!

Kama kuna kidem kinakuringia sasa hivi kiambie kabisa! Mwakani sio mbali.. Tutaonana tuu😀

Na kama wewe ni jinsia pinzani usimalize zote kwenye vipodozi na show offs! Sponsors watayeyuka kama barafu juani
FB_IMG_1756317531408.jpg
 
Msidanganyike na hivi vishekeli vya sasa! Huu ndio msimu wake, upatipa haraka! Uchafuzi shekeli humwaga kila kona! Kibubu hutobolewa kabisa ili kupunguza kelele

Huu ni wakati wa ulaji.. Ni wakati wa upigaji ... Kama uchafuzi utafanikiwa.. Basi tambua hali ni tete mwakani
Tujiandae! Tufiche kidogo tusile chote.. Tujiandae kukimbiana mwakani.. Waliotukopesha hata kupitia harambee watataka za kwao za awali ndio zirudi kwanza

Kama kuna kamfereji umefanikiwa kukatega katafutie tank la akiba ili kiangazi kikija una pa kuhemea! Una pa kuponea!

Kama kuna kidem kinakuringia sasa hivi kiambie kabisa! Mwakani sio mbali.. Tutaonana tuu😀

Na kama wewe ni jinsia pinzani usimalize zote kwenye vipodozi na show offs! Sponsors watayeyuka kama barafu juaniView attachment 3455463

HAKIBA? ni kitu gani hicho?
 
Ni mwaka tu au miaka yote mitano Toka siku atakapoapishwa kizimkazi
Kila jambo na majira yake.. Lakini ni heri kuanza na mavuno kuliko kupsnda ama kupalilia... Formula ya mua ukila kwenye ulaini lazima utaifikia fundo.. Ni wakati wa kula fundo hapo mwakani
 
Msidanganyike na hivi vishekeli vya sasa! Huu ndio msimu wake, upatipa haraka! Uchafuzi shekeli humwaga kila kona! Kibubu hutobolewa kabisa ili kupunguza kelele

Huu ni wakati wa ulaji.. Ni wakati wa upigaji ... Kama uchafuzi utafanikiwa.. Basi tambua hali ni tete mwakani
Tujiandae! Tufiche kidogo tusile chote.. Tujiandae kukimbiana mwakani.. Waliotukopesha hata kupitia harambee watataka za kwao za awali ndio zirudi kwanza

Kama kuna kamfereji umefanikiwa kukatega katafutie tank la akiba ili kiangazi kikija una pa kuhemea! Una pa kuponea!

Kama kuna kidem kinakuringia sasa hivi kiambie kabisa! Mwakani sio mbali.. Tutaonana tuu😀

Na kama wewe ni jinsia pinzani usimalize zote kwenye vipodozi na show offs! Sponsors watayeyuka kama barafu juaniView attachment 3455463
Kaa kwenye system tuh mkuu Wala usihofu
 
Back
Top Bottom