Wapendwa tujitahidi kuweka akiba, mwakani hali ni mbaya

Duuuu sasa wengine hela zenyewe hata haziwekeki akiba itakuaje
 
Nilizoea kufikiri kuwa Farao ndiye mtawala katili mwenye roho mbaya utadhani ni makamu wa shetani. Kumbe dunia imebeba watawala katili kiasi kwamba Farao ni mgambo tu kwenye tawala zao.
 
Kuna kila dalili wafadhili wa bajeti kukata kamba.
Mzunguko wa pesa na thamani ya pesa vitadondoka.
kodi zitaongezeka kufadhili matumizi ya watawala.
Uweza wa watu kununua utashuka.
nk nk
Kikubwa mjipange!!!
 
Kweli aisee wewe ni mtu wa pili sasa naona katoa hii tahadhari. Amesema the future is very uncertain 🥲🥲
 
Vipi msimu huu utaleta vifaa vya shule? How do you see next year's school season? Itakuwa kama miaka mingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…