Wapeni Milioni 600 yao mliyowaahidi Wakimfunga 'Juaeni Juaneni' halafu Kipa 'Manua Manua' aache kutumika mno na MSG Kuiumiza Timu

Tuseme Jana wachezaji hawakuwa mchezoni kisa 600M?!!?
Mbna walikua wanapiga shoot Kali kuelekea lango la prison.
Mbna ngoma alifunga na kuchukua mpira chapchap ili wasawazishe.
 
Ni rahisi ukiwa na uongozi usio nyau nyau,ila kama uongozi nyau nyau,sio tu tabu ila ni kubeba gunia la misumari miksa chumvi tena chumvi mawe 🤓🤓😎😎
Licha ya hivyo bado kuna kasumba ya kushindwa kuyapokea matokeo, kocha anaweza cheza mechi 99 hajapoteza, akapoteza 1 ikamuondosha klabuni.
Mpira wa miguu una matokeo matatu watu wasilisahau hilo.
 
Licha ya hivyo bado kuna kasumba ya kushindwa kuyapokea matokeo, kocha anaweza cheza mechi 99 hajapoteza, akapoteza 1 ikamuondosha klabuni.
Mpira wa miguu una matokeo matatu watu wasilisahau hilo.
Hawajui hilo,unge mwona kolo kofia ndefu jana kalia kama kapatwa msiba mkubwa🤓.Huenda alikimbilia kwa kocha na kumuamuru asepe mwenyewe kabla haja mtembelea na dumu la⛽️😅
 
Hawajui hilo,unge mwona kolo kofta ndefu jana kalia kama kapatwa msiba mkubwa🤓.Huenda alikimbilia kwa kocha na kumuamuru asepe mwenyewe kabla haja mtembelea na dumu la⛽️😅
Tujifunze kuyapokea matokeo, hakuna timu inayoshinda kila mchezo.
Pale simba kinachowazuzua ni hii kasi ya yanga inawapa tumbo joto.
 
.
 

Attachments

  • images - 2024-03-06T195758.138.jpeg
    45.8 KB · Views: 2
Hizi ndo post zenye akili.
Full coded na content ipo valid
 
UKIZISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUPUNGUA.

VIJANA USHAURI WA BURE HUU
 
UKIZISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUPUNGUA.

VIJANA USHAURI WA BURE HUU
Vile vile ukiwa kila Siku unamchukia GENTAMYCINE hapa JamiiForums lakini bado unaendelea Kumfuatilia kwa Kusoma kila Mada zake si tu ni dalili tosha kuwa UNAINGILIWA kule KUSIKOTAKIWA ( UNYABENGANI ), bali pia ni MPUMBAVU sana na ni MWENDAWAZIMU mno.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Popoma apigwe ban hapa jukwaa la sports

Sent using Jamii Forums mobile app
Argentina inaweza Kucheza bila Lionel Messi? Yanga SC inaweza Kucheza bila Pacome Zouzou? Simba SC inaweza Kucheza bila ya Clatous Chota Chama? JamiiForums haikamiliki / haijakamilika bila ya GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki.
 
Hizi ndo post zenye akili.
Full coded na content ipo valid
GENTAMYCINE huwa naeleweka haraka na vyema na JamiiForums Members Intelligents kama Wewe na siyo Mipumbavu mingi iliyoko / tuliyonayo hapa na hasa hasa iliyochangia huu Uzi.
 
Sisi mashabiki ndio tunaoumia.
Hii timu ni yetu sote.
 

SINA MUDA WA KUSOMA UPUMBAVU WAKO.

JF IMEINGILIWA SANA.
NILIACHA KUKAA SANA HUMU NDANI.

UTOTO MWINGI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…