Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada anaitwa popomaTuseme Jana wachezaji hawakuwa mchezoni kisa 600M?!!?
Mbna walikua wanapiga shoot Kali kuelekea lango la prison.
Mbna ngoma alifunga na kuchukua mpira chapchap ili wasawazishe.
Kolo ndio zaooo,njaaa kali hataaari🤓🏃♂️🤸Uongozi wanasema ahadi ilikuwa milioni 6, wachezaji hawakusikia vizuri!
Katimuliwa na Kambangu🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kuna tetesi Kaa benchi hayupo nchini
😁😁😁🖐🤝🤝🤝Moyo wangu huwa unajaa furaha sana hasa nikisikia habari mbaya zinazoihusu Simba.
Ila hizi timu kubwa tz kuziongoza ni tabu sana.Katimuliwa na Kambangu🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ni rahisi ukiwa na uongozi usio nyau nyau,ila kama uongozi nyau nyau,sio tu tabu ila ni kubeba gunia la misumari miksa chumvi tena chumvi mawe 🤓🤓😎😎Ila hizi timu kubwa tz kuziongoza ni tabu sana.
Kwahiyo tuwaandalie adhabu gani🤓
Licha ya hivyo bado kuna kasumba ya kushindwa kuyapokea matokeo, kocha anaweza cheza mechi 99 hajapoteza, akapoteza 1 ikamuondosha klabuni.Ni rahisi ukiwa na uongozi usio nyau nyau,ila kama uongozi nyau nyau,sio tu tabu ila ni kubeba gunia la misumari miksa chumvi tena chumvi mawe 🤓🤓😎😎
Hawajui hilo,unge mwona kolo kofia ndefu jana kalia kama kapatwa msiba mkubwa🤓.Huenda alikimbilia kwa kocha na kumuamuru asepe mwenyewe kabla haja mtembelea na dumu la⛽️😅Licha ya hivyo bado kuna kasumba ya kushindwa kuyapokea matokeo, kocha anaweza cheza mechi 99 hajapoteza, akapoteza 1 ikamuondosha klabuni.
Mpira wa miguu una matokeo matatu watu wasilisahau hilo.
Tujifunze kuyapokea matokeo, hakuna timu inayoshinda kila mchezo.Hawajui hilo,unge mwona kolo kofta ndefu jana kalia kama kapatwa msiba mkubwa🤓.Huenda alikimbilia kwa kocha na kumuamuru asepe mwenyewe kabla haja mtembelea na dumu la⛽️😅
Hizi ndo post zenye akili.Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza?
Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki Jaribu Baadae ambaye si Mtu mzuri kwa Klabu na ni Kirusi HATARI klabuni kuliko hata kile cha HIV.
Najua kuwa Siku za Ben Naachika ndani ya Fred Jobe Hovyo Hovyo SC zinahesabika na tayari Dalili tumeshaanza Kuziona.
Vile vile ukiwa kila Siku unamchukia GENTAMYCINE hapa JamiiForums lakini bado unaendelea Kumfuatilia kwa Kusoma kila Mada zake si tu ni dalili tosha kuwa UNAINGILIWA kule KUSIKOTAKIWA ( UNYABENGANI ), bali pia ni MPUMBAVU sana na ni MWENDAWAZIMU mno.UKIZISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUPUNGUA.
VIJANA USHAURI WA BURE HUU
Argentina inaweza Kucheza bila Lionel Messi? Yanga SC inaweza Kucheza bila Pacome Zouzou? Simba SC inaweza Kucheza bila ya Clatous Chota Chama? JamiiForums haikamiliki / haijakamilika bila ya GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki.
GENTAMYCINE huwa naeleweka haraka na vyema na JamiiForums Members Intelligents kama Wewe na siyo Mipumbavu mingi iliyoko / tuliyonayo hapa na hasa hasa iliyochangia huu Uzi.Hizi ndo post zenye akili.
Full coded na content ipo valid
Sisi mashabiki ndio tunaoumia.Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza?
Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki Jaribu Baadae ambaye si Mtu mzuri kwa Klabu na ni Kirusi HATARI klabuni kuliko hata kile cha HIV.
Najua kuwa Siku za Ben Naachika ndani ya Fred Jobe Hovyo Hovyo SC zinahesabika na tayari Dalili tumeshaanza Kuziona.
Vile vile ukiwa kila Siku unamchukia GENTAMYCINE hapa JamiiForums lakini bado unaendelea Kumfuatilia kwa Kusoma kila Mada zake si tu ni dalili tosha kuwa UNAINGILIWA kule KUSIKOTAKIWA ( UNYABENGANI ), bali pia ni MPUMBAVU sana na ni MWENDAWAZIMU mno.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Hizi ndo post zenye akili.
Full coded na content ipo valid