Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

Ongezea na hii

1_lily

2_diamond

3_I am on my way

4_unity
tuko pamoja mkuu kama unamkubali alan walker umetisha kinoma noma yaani sielewi kingereza ila nikianza ku-play ngoma zake naona nipo dunia flani ambayo haielezeki hasa ukisikiliza night..
 
Lift me up ni hatari sana.
 
Gryffin-After You
Gryffin-Hold You Tonight
Gryffin-Best Is Yet To Come

Kygo-Love Me Now
Kygo Ft OneRepublic-Lose Somebody
Kygo Ft Selena Gomez-It Ain't Me
 
Kwenye EDM music msanii wangu bora ninaemkubali mpaka nahisi ameniloga ni huyu "Alan Walker" playlist zangu kali ni hizi...

Alan Walke list songs
1. Hallow
2. Faded
3. Alone
4. Sing me
5. Dack side
6. Symboly
7. Different worlds
Umesahau Unity.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…