Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

Ongezea na hii

1_lily

2_diamond

3_I am on my way

4_unity
tuko pamoja mkuu kama unamkubali alan walker umetisha kinoma noma yaani sielewi kingereza ila nikianza ku-play ngoma zake naona nipo dunia flani ambayo haielezeki hasa ukisikiliza night..
 
1. Afro Jack ft Matthew Koma- Illuminate


2. Dj Fresh ft Sian Evans- Louder


3. David Guetta ft Ryan Tedder - S.T.O.P


4. Dj Fresh ft Ella Eyre- Gravity


5. David Guetta ft Nico & Vinz & Black Mambazo - Lift me up


6. Matrix & Future Bound ft Max Marshall- Control


7. Cedric Gervais ft Lana Del Rey - Summer time sadness

Lift me up ni hatari sana.
 
b1a3eb9ab0c70205ce11e0b61f1a9000.jpg


8858e1d9b5f67acd837447f9fc3cf99b.jpg

37782fd23a37d36e6e7daa8f3d5f225a.jpg

hilo ni folder ambalo kwangu mimi naona kama nimezitupia kwenye dust bin....
hiyo ngoma ya HARDWEL ft Jason delulo ..follow me ni nomaa...
Hiyo Follow me ni noma sana.
 
Gryffin-After You
Gryffin-Hold You Tonight
Gryffin-Best Is Yet To Come

Kygo-Love Me Now
Kygo Ft OneRepublic-Lose Somebody
Kygo Ft Selena Gomez-It Ain't Me
 
Kwenye EDM music msanii wangu bora ninaemkubali mpaka nahisi ameniloga ni huyu "Alan Walker" playlist zangu kali ni hizi...

Alan Walke list songs
1. Hallow
2. Faded
3. Alone
4. Sing me
5. Dack side
6. Symboly
7. Different worlds
Umesahau Unity.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom