Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Mamovie ya kutisha kwakweli nilisha achana nayo kitambo. Maana nilikua naziangalia mpaka nikajiona naelekea kua na roho ya ajabu. Nashukuru siku hizi siziangalii kabisa.

The conjuring 2 trailer lake 2 naliogopa maana iliua mtu india
 
Kuna nyengine inaitwa Evil Dead
Hiyo ni noma lazima uote kama sio mzoefu Wa hizo muvie ni Bonge la horror
 
Hizo muvie ni nzuri coz ndani yake kuna comedy za kutosha ziko poa mfano hiyo 4
 
Mkuu mtoa mada mbona hyo muvi haitishi kabisa.sijaona kinachotisha na niliamua kuiangalia usiku wa saa7 na sub UFA sauti juu ili nisikie vizuri vile vishindo vya muvi lakini hamna kitu. Kwa upande WANGU naona haitishi sana kama mtoa Mada alivyoaminisha.
 
Mamovie ya kutisha kwakweli nilisha achana nayo kitambo. Maana nilikua naziangalia mpaka nikajiona naelekea kua na roho ya ajabu. Nashukuru siku hizi siziangalii kabisa.
The conjuring 2 trailer lake 2 naliogopa maana iliua mtu india
Mmmmh kumbe ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…