The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,048
Mkuu hii movie ni balaa, huwa sichoki kuicheki, asee though wanasema imebeba ukweli flani hivi.Daah! Conjuring ni balaa tupu
Saw ni 8 mkuu sio 3Dah Saw 3 naham nayo vibaya
Yap! Mambo ya Exorcism ni kweli kabisa.mkuu hii movie ni balaa, huwa sichoki kuicheki, asee though wanasema imebeba ukweli flani hivi
Halafu conjuring 1, ndo inabamba zaidi.Sitakuja kuisahau the cinjuring. Kama una roho nyepesi huwezi kulala usiki
[emoji4] [emoji4] [emoji4] asante my mond but mmh hzo movie pke yngu hpana aisee!!naweza toka nduki[emoji125] [emoji125] kwa kuhisi wapo nyuma yngu!![emoji6]Post imuendee Candyscorpion na wapenda muvi za kutisha wote
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] nambie zisizotisha sana, lbda hyo mama nimevutiwa nayo kiasi but zingne za kutoana mitumbo hapana buana!!Candyscorpion njoo huku ujione vitu vyako
Poa nimeanza na hizo mkuu ngoja nitaleta zingineUngekuja na Action movies mkuu
Nilishindwa iangalia. Movie za kutisha naangalia mchana siku izi [emoji23][emoji23][emoji23] si kwa kulala huku peke yangu. Nikiangalia usiku basi niandae comedy ya kuangalia baada ya hapo ndo ntalala kwa amani!Sitakuja kuisahau the cinjuring....Kama una roho nyepesi huwezi kulala usiki