Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

kuna movie inaitwa "IT FOLLOWS" ukiicheki hii unaweza jikuta unaacha kupiga ile migegedo ya one night stand usiyojua hata history zao
 
Wrong turn ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta hostel (ziko 1,2,3 na 4) then tafuta saw hizo nazo zipo nyingi.. halafu tafuta kijimovie kimoja hivi kimechezwa brazil kinaitwa turistas
Hostel sidhani kama inatisha kwa kuwa ime base sana kwenye cannibalism
 
Movie za kutisha nishanyoosha mikono juu, siwezi tazama kwanza zinatisha halafu watu wake wajinga!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…