Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Ila wenzetu wapo vizuri sana kwenye kuigiza.
Hivi mbona mwisho wakati wa kuondoka sikumuona father??
 
Hiyo ni noma alafu wengi hawaijui inatisha na vile vidudu vinavyoingia kwenye kila tundu
Basi nasisimkaga pale lile dubwana linapopasuka na kutoa vile vidudu.
Awali wakati naanza kuiangalia, sikula nyama wiki
 
Basi nasisimkaga pale lile dubwana linapopasuka na kutoa vile vidudu.
Awali wakati naanza kuiangalia, sikula nyama wiki
Mie pale wanapoingia kwa yule demu akiwa anaoga kwenye bezeni zao za kizungu asee nilishindwa kutazama
 
Mie pale wanapoingia kwa yule demu akiwa anaoga kwenye bezeni zao za kizungu asee nilishindwa kutazama
Yaani.
Afu ukivishika vinatumbuka tumbuuu.

Mkuu nina harddrive ina movie za kutisha takriban 300+
Kama uko Dar siku nitakupa ucheki.

Hizi zote zinazotajwa hapa zote ninazo.
Nimekuwa addicted na horror, haunting, zombie, cannibals, ghosts movies
Kuanzia za kizungu, kiasia, kihindi, wachina n.k

Sasa mapenzi yangu siku hizi yamehamia kwenye chaneli ya Investigation Discovery.
Yale mauaji na mapelelezi huwa nayapenda sana.
 
Asante mkuu nitashukuru sana hizo ndio movie zangu ninazozielewaga nitakucontact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…