Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Halafu kitu nimegundua katika hizi muvie,ni kwamba.

Usikariri unayefikiri ni staring anaweza akapoteza muda wowote/anayevuta hisia zako anaweza akakuchanganya ndani ya dakika mbili.

Mfano katika hii muvie ya the NUN,huyu jamaa yetu ambaye alikuwa mchunga farasi,wenzakw wamepata maswahibu magumu sana wakatoka wazima,ila yeye katoka kapigwa chata la freemason[emoji38][emoji38][emoji38],kwahiyo kwa mahesabu ya haraka siye yeye tena.

Sister naye ana chata la nyota begani lakini hana taarifa,dah sijui ikitoka nyingine itakuwaje??

Nilikuwa namkubali priest kwa upako,lakini alichezea madochi mpaka akaregea,ni kama walikuwa wanapona kwa zaki zali hivi sio uwezo.

Ila wenzetu wapo vizuri sana kwenye kuigiza.
Hivi mbona mwisho wakati wa kuondoka sikumuona father??
 
Mkuu shukran sana
Nimeanza kuidownload hii kitu noma sanaaaaa
Screenshot_20181106-120523.jpeg
 
Hiyo ni noma alafu wengi hawaijui inatisha na vile vidudu vinavyoingia kwenye kila tundu
Basi nasisimkaga pale lile dubwana linapopasuka na kutoa vile vidudu.
Awali wakati naanza kuiangalia, sikula nyama wiki
 
Basi nasisimkaga pale lile dubwana linapopasuka na kutoa vile vidudu.
Awali wakati naanza kuiangalia, sikula nyama wiki
Mie pale wanapoingia kwa yule demu akiwa anaoga kwenye bezeni zao za kizungu asee nilishindwa kutazama
 
Mie pale wanapoingia kwa yule demu akiwa anaoga kwenye bezeni zao za kizungu asee nilishindwa kutazama
Yaani.
Afu ukivishika vinatumbuka tumbuuu.

Mkuu nina harddrive ina movie za kutisha takriban 300+
Kama uko Dar siku nitakupa ucheki.

Hizi zote zinazotajwa hapa zote ninazo.
Nimekuwa addicted na horror, haunting, zombie, cannibals, ghosts movies
Kuanzia za kizungu, kiasia, kihindi, wachina n.k

Sasa mapenzi yangu siku hizi yamehamia kwenye chaneli ya Investigation Discovery.
Yale mauaji na mapelelezi huwa nayapenda sana.
 
Asante mkuu nitashukuru sana hizo ndio movie zangu ninazozielewaga nitakucontact
 
Back
Top Bottom