The possessionMkuu inaitwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The possessionMkuu inaitwaje?
Mkuu inaitwaje?
Halafu kitu nimegundua katika hizi muvie,ni kwamba.
Usikariri unayefikiri ni staring anaweza akapoteza muda wowote/anayevuta hisia zako anaweza akakuchanganya ndani ya dakika mbili.
Mfano katika hii muvie ya the NUN,huyu jamaa yetu ambaye alikuwa mchunga farasi,wenzakw wamepata maswahibu magumu sana wakatoka wazima,ila yeye katoka kapigwa chata la freemason[emoji38][emoji38][emoji38],kwahiyo kwa mahesabu ya haraka siye yeye tena.
Sister naye ana chata la nyota begani lakini hana taarifa,dah sijui ikitoka nyingine itakuwaje??
Nilikuwa namkubali priest kwa upako,lakini alichezea madochi mpaka akaregea,ni kama walikuwa wanapona kwa zaki zali hivi sio uwezo.
Nimeanza kuidownload hii kitu noma sanaaaaaMkuu shukran sana
Hahaah poa mkuuNimeanza kuidownload hii kitu noma sanaaaaaView attachment 923299
Hupitwiiii hahahahhaAsante sana mkuu.
Nimeipata kwenye Terrarium.View attachment 922765
Umeipata wap?Ipo mkuu. Ila sijaipakua play storeView attachment 922791
Wrong turn balaaa kabisa hostel 1na 2 mirrorMkuu LICHADI vipi kuhusu {wrong turn} nayo haina vigezo vya kupenya kabisa kwenye list.
Naanzaje kupitwa. Na usiku Leo ni zamu ya the possession[emoji23][emoji23][emoji23]Hupitwiiii hahahahha
Ni google tuu ..Umeipata wap?
Basi nasisimkaga pale lile dubwana linapopasuka na kutoa vile vidudu.Hiyo ni noma alafu wengi hawaijui inatisha na vile vidudu vinavyoingia kwenye kila tundu
Mie pale wanapoingia kwa yule demu akiwa anaoga kwenye bezeni zao za kizungu asee nilishindwa kutazamaBasi nasisimkaga pale lile dubwana linapopasuka na kutoa vile vidudu.
Awali wakati naanza kuiangalia, sikula nyama wiki
Sikuhizi natumia Popcorn Time apkNi google tuu ..
Wanaita sijui Apk..
Ila wenzetu wapo vizuri sana kwenye kuigiza.
Hivi mbona mwisho wakati wa kuondoka sikumuona father??
Nimeanza kuidownload hii kitu noma sanaaaaaView attachment 923299
Yaani.Mie pale wanapoingia kwa yule demu akiwa anaoga kwenye bezeni zao za kizungu asee nilishindwa kutazama
Asante mkuu nitashukuru sana hizo ndio movie zangu ninazozielewaga nitakucontactYaani.
Afu ukivishika vinatumbuka tumbuuu.
Mkuu nina harddrive ina movie za kutisha takriban 300+
Kama uko Dar siku nitakupa ucheki.
Hizi zote zinazotajwa hapa zote ninazo.
Nimekuwa addicted na horror, haunting, zombie, cannibals, ghosts movies
Kuanzia za kizungu, kiasia, kihindi, wachina n.k
Sasa mapenzi yangu siku hizi yamehamia kwenye chaneli ya Investigation Discovery.
Yale mauaji na mapelelezi huwa nayapenda sana.
Hahahahaha mara ya kwanza kuichek ilikua school boarding usiku inaogopesha kwa first time ukiionaNomaaa. Ina mahendisamu boiView attachment 923264