Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wakuu anae jua app nzur ya kudownload movie anisaidie maana popcorn inazingua sana now
 
Naomba waliozitazama "sinccin" zote 6 watoe mrejesho kama ipo horror film inayoifunika hiyo.

NB: This film is not for those who are weak.

"Dont say you were not warned"
 
Kuna movie niliangalia nikiwa ndogo

Ya vampire Ila nimeisahau jina, inahusu marafiki na mademu zao ,walikuwa wanaenda picknick kwenye forest moja hivi wakafikia kwenye jengo flani la zamani, hiyo nyumba ilikuwa na mauzauza usipime Kwanza ukijiangalia kwenye kioo unaona picha za vi Bibi, ukifungua Bomba zinatoka damu, marafiki wakanza kugeuka mavampire, mwisho Kuna kitabu walikuja kuchoma Mambo ya kawa shwari , movie ilichezwa Usiku , kupambazuka ndiyo movie inaisha,
Nikumbusheni jina wadau nataka niirudie...?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wapenzi wa dhati kabisa wa horror films nawakaribisha kwenye turkish sinema.tafuteni SINCCIN ipo 1 mpaka 6.
Ukiweza kuziangalia hizo ndio utajua up till that moment you have never been horrified all your life.
 
Napenda sana horror asee. Na raha yake uitazame usiku [emoji23][emoji23]

Mosi, INSIDIOUS chapter zote.

Pili, THE CONJURING

Tatu, THE WAILING

Nne, IT

Tano, THE WITCH

Sita, DONT BREATHE

Saba, THEY LOOK LIKE PEOPLE
Nimeandika it zimejitokeza nyingi ni zipi Kati ya hizo
 
Kila siku napitia jukwaa hili kuangalia vijana jinsi wanavyosifia movie za kutisha najikuta nacheka Sana,Kwa mfano movie kama wrong turn nayo eti ni inatisha?

Nilikuwa nasubir Nani ameshawahi kuiona hiyo movie ya EVIL DEAD Ila leo nashukuru Mkuu umeifanya hiyo movie kuwa namba 1 hakika Kwa Mtu ambaye ni mtu wa movie za kutisha kama hajaiona hii kitu basi huyo bado ni mchanga.

Sometimes unakuta mpaka mabinti nao wanaangalia horror movie na anamaliza movie yote, wajaribu hii movie sidhani kama wataweza kuimaliza. Nimeangalia movie nyingi Sana za kutisha Ila evil dead ni zaidi ya zote hata msanii wa hip hop Eminem alishawahi kuisifia hiyo movie na akatoa nyimbo Kwa jina hilo
 
Kabisa mkuu nyingi wanazooresha ukienda cheki unajilaumu kwa kupoteza mda wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jordan peele ni fundi sana wa scary movies?? Sijaziangalia lakini naona mnasifia sana movie zake hizo it na us
Yeah yuko vizuri huyu mzee, Us iko vizuri ina mzunguko flani hivi usipokuwa makini hutoelewa.
Kwenye It hausiki ila Ina maudhui Kama ya Us.
 
Kuna hizi SAW Ushawahi kuona mtu anabanikwa?

ilikuwa bado kidogo nipasue screen kwa kikombe.
 
Horrors ambazo ni gross mimi siwezi angalia, yani sijui mtu anatolewa utumbo, kumatana vichwa etc, ukiwa unaenjoy hizo movie seriously utakua na shida psychologically au utakua una genes za userial killer, horror nzuri ni hizi kama The Conjuring 1,2 Annabelle 1,2 , IT chapter one and two.. yani horrors ambazo zinakurusha kwenye kiti na kukuswetisha mikono na sio kuangalia movie ushindwe kula nyama au upate kinyaa kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bila shaka utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa Paranormal Activity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…