Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika it zimejitokeza nyingi ni zipi Kati ya hizoNapenda sana horror asee. Na raha yake uitazame usiku [emoji23][emoji23]
Mosi, INSIDIOUS chapter zote.
Pili, THE CONJURING
Tatu, THE WAILING
Nne, IT
Tano, THE WITCH
Sita, DONT BREATHE
Saba, THEY LOOK LIKE PEOPLE
Kila siku napitia jukwaa hili kuangalia vijana jinsi wanavyosifia movie za kutisha najikuta nacheka Sana,Kwa mfano movie kama wrong turn nayo eti ni inatisha?1. Evil Dead
2. IT
3. The conjuring 1&2
4. Anabelle (Creation & Comes Home)
5. Scary stories to tell in the dark
6. Constantine
7. Us
8. The cleansing hour
9. Drag me to Hell
10. The Body keepers
Taja movie kali ya kutisha unadhani sijaitaja na unaikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku napitia jukwaa hili kuangalia vijana jinsi wanavyosifia movie za kutisha najikuta nacheka Sana,Kwa mfano movie kama wrong turn nayo eti ni inatisha?
Nilikuwa nasubir Nani ameshawahi kuiona hiyo movie ya EVIL DEAD Ila leo nashukuru Mkuu umeifanya hiyo movie kuwa namba 1 hakika Kwa Mtu ambaye ni mtu wa movie za kutisha kama hajaiona hii kitu basi huyo bado ni mchanga.
Sometimes unakuta mpaka mabinti nao wanaangalia horror movie na anamaliza movie yote, wajaribu hii movie sidhani kama wataweza kuimaliza. Nimeangalia movie nyingi Sana za kutisha Ila evil dead ni zaidi ya zote hata msanii wa hip hop Eminem alishawahi kuisifia hiyo movie na akatoa nyimbo Kwa jina hilo
Naomba waliozitazama "sinccin"zote 6 watoe mrejesho kama ipo horror film inayoifunika hiyo.
NB: This film is not for those who are weak.
"Dont say you were not warned"
Yeah yuko vizuri huyu mzee, Us iko vizuri ina mzunguko flani hivi usipokuwa makini hutoelewa.Hivi jordan peele ni fundi sana wa scary movies?? Sijaziangalia lakini naona mnasifia sana movie zake hizo it na us
Texas Chainsaw. Sawyer's family.Texas Chainsaw. Wrong turn. Hizo mbili huwa sijawahi kutazama hadi mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂horrors ambazo ni gross mimi siwezi angalia, yani sijui mtu anatolewa utumbo, kumatana vichwa etc, ukiwa unaenjoy hizo movie seriously utakua na shida psychologically au utakua una genes za userial killer, horror nzuri ni hizi kama The Conjuring 1,2 Annabelle 1,2 , IT chapter one and two.. yani horrors ambazo zinakurusha kwenye kiti na kukuswetisha mikono na sio kuangalia movie ushindwe kula nyama au upate kinyaa kula
Sent using Jamii Forums mobile app