Nakuunga Mkono Kwenye Wrong Turn.Mimi pia ni mdau sana wa Horrow Movies...
Hizi hapa ndo top 3 zangu za ALL TIME.
1.The HUMAN CENTIPEDE pt1&2.
2.THE HATCHET pt 1 -3.
3.WRONG TURN PART 3
Insyuka ilikua noma
THE HOSTEL.....staki ata kuiskia ...iliniliza1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Hii movie kwakweli inatisha haswa yule mbibi.My best was DRAG ME TO HELL...events occurred unexpected plus sound effect was good much appreciated in theater...0% blood 0%nudity 100% adrenaline surge
1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Kunamuvie naitafuta nimesahau jinalake watu wanatolewa viungo ndani ya train staring ni mdada.
THE HOSTEL.....staki ata kuiskia ...iliniliza
mkuu,hiyo namba 3 ni nyoko aisee,sichoki kuitazama
Ouija noma!Don't Miss These You Won't Regret.
Ni Latest
1.THE BLAIR WITCTH
2.ANGEL OF RECKONING
3.HAUNTING OF WOODLAND
HILLS
4.TELL ME HOW I DIE
5.HONEY MOON FROM HELL
6.BLOOD
TRAP
7.QUARANTINE HAUNTINGS
8.OUIJA SUMMONING
9.DARK EXORCISIM
10.ABOITTAR
11.THE FORTITUDE
12.MORGAN
13.KNUCKLE BONES
MAMA YA KITAMBO SANA"MAMA" Ni Horror Movie Nzuri Pia. Kwa Wapenzi Wa Conjuring Zipo Nyingi Zinakuja Kwa Design Tofauti.
Get Ready.