Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

516eb08996d8f6e1c3d0bc78cb06d0e2.jpg
Msaada kama unaijua Part II ya JENNIFER'S BODY
 
Nilishindwa iangalia. Movie za kutisha naangalia mchana siku izi [emoji23][emoji23][emoji23] si kwa kulala huku peke yangu. Nikiangalia usiku basi niandae comedy ya kuangalia baada ya hapo ndo ntalala kwa amani!
Uzuri wa horrow movie ni kuangalia usiku asee hadi una feel uzuri wa movie, yani vile hadi vinyweleo vina sisimka.
 
uzuri wa horrow movie ni kuangalia usiku asee hadi una feel uzuri wa movie, yani vile hadi vinyweleo vina sisimka.
Mi mwenyewe nimejikuta nikiwa na tabia hiyo yaani nikiwa natafuta usingizi basi naanza kucheki Horro Movies youtube kisha ndo nalala.
 
Back
Top Bottom