Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

1. Niliipenda THE WHITCH [emoji28] [emoji28] muvie moja simple tu ya familia moja ila dah....mpaka inaisha nimefarakana, mapacha wadogo wanamashaka na dada yao, lakini mama na familia hawawaelewi(labda sababu ni watoto)mpaka yanaikuta makubwa familia.
2. Mamaa..victoriaa, huyu ni lily akibabaika aende wapi[emoji86] abaki na dada au aende kwa mama.
3. Conjuring 1, hapa noma, namkumbuka mama, alivyopewa mateso mpaka nikamuonea huruma.

[emoji28] [emoji28] [emoji28] hizi muvie za kutisha, nilidhani africa tunaweza kumbe baado sana, jamaa wako mbali mno.
 
Hapo kuna SAW VIII, Final Destination 6 na Jeeper Creeper.... zikitok Hata CINEMAX ntaenda kuangalia
 
Hey guys nadhan mpo poa soon nitaleta list nyingine, stay tunned.
 
Vijana changamkieni hizo muvi, mje kutisha humu jamvini na kijiweni, japo viroba ndo kushine, ila kuna balimi na safari lager za kuwapeni stimu.
 
033850f71c42ab381cfa411f96031350.jpg


e43148b3b9a6551d5977ad4a8075a37f.jpg

Japo mimi sio mpenzi wa movie lakini hizi ni kati ya movie zinazotisha sana.

Ongezea na ya kwako.
 
Back
Top Bottom