LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo movie inafaa sana kuziona wakati wa usiku ukiwa peke yako Getto.
Nb. Ni kwa wanaume wa mikoani pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo movie inafaa sana kuziona wakati wa usiku ukiwa peke yako Getto.
Nb. Ni kwa wanaume wa mikoani pekee
Wrong turn za kishamba zileUMESAHAU WRONG TURN
Na mwaka huu imetolewa nyingine THE NUN 2018Hivi hiyo the nun ni ya mwaka gani.?
Maana Mimi inakuja ya 1996
Hakupewa lift angalia vizuri mkuuHahahahaha. Hatishi sana. Au labda kwa ajili niliangalia nikiwa mdogo mdogo.
Hivi yule bibi si ni alipewa lift na yule Dada? Au ni mvua sijui ilikuwa inanyesha hivi. Walivyokutana first time?
Najaribu kuikumbuka ila sipati picha vizuri. Itabidi niiangalie tena.
Ngoja niangalie hapo kwako mkuu.Hakupewa lift angalia vizuri mkuu
Horror movie ni category sio lazima zikutishe.Nimeona mbili kati ya hizo
1.texas chainsaw
2.the conjuring
Kwangu hazitishi
Ukapimwe wewe sio mzima.Nadhani watengenezaji na waangaliaji wa hizo movie wana matatizo ya akili....
RARBG Rarbg Index pageDownload app inaitwa yts, na app ya torrent pia utazipata simple tu
Tatizo amujui tofsutisha kuna aina mbalimbali za horror, conjiring uwezi fananisha na Saw.Wrong turn za kishamba zile
Kuna moja ya kuitwaga Slither ni noma mkuu itafute uicheki,Hizi ndio movies kali za kutisha ambazo zimewahi kutoka, kama ni muoga usiangalie [emoji4]
1. Amityville Possession 1982
View attachment 922128
2. End of Days 1999
View attachment 922130
3. The conjuring 1,2
View attachment 922131
4. Drag me to Hell 2009
View attachment 922134
5. The nun 1,2
View attachment 922136
6.Woman in black
View attachment 922142
7. House of Wax
View attachment 922148
8. Texas Chainsaw massacre
View attachment 922150
9. Jeepers Creapes 2, 2003
Hahaah kama pale mganga anachezea makofi na mtu asie muona! Hatari sana.Acha kabisa mkuu mimi trailer yake tu sikuoga wiki nzima
Mimi sio mtaalamu wa ndoto ila nadhani utakuwa bado unaota na ndoto nyevu maana ndoto zako zinaonekana kujirudia rudia,Tafuta moja inaitwa jeapers creapers kama sjakosea,hyo muvi niliangalia zaman sana ila had leo hua naota