Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
Mkuu nimekuelewa sana hapa, SAW ni category gani maana zile ndo huwa zinanitisha achana na hizi sijui the nun, conjuring,drag me to hell,zote huwa hazinitishi hata niangalie usiku gani.Tatizo amujui tofsutisha kuna aina mbalimbali za horror, conjiring uwezi fananisha na Saw.