muneera75
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 190
- 318
Lugha uliyotumia kuandika sijaielewa.
Hii jf sometimes kutumia shida. Anyway mi nataka kujua jinsi ya kudownload movie google unafanyaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha uliyotumia kuandika sijaielewa.
Mkuu endgame inaishia Thor kamuoa/kamfanya Queen of Asgard vile kuungana nikukualert kwamba muvi itakayo fuata basi watakua pamoja ila sio kwamba kaiacha Asgard. Japo jamaa ni mtu wa visanaga ila kipindi hiki inabidi aplay role of King maana yeye ndio kabakia (Mind you Loki hajafa)..Good news nikua Grandmaster anaweza kuwemo kwenye Thor na GoG vol3 nampenda sana huyu jamaa...Swali linakuja je atamuacha yule Dada aendelee kuingoza Asgard au vipi maana inaisha anaamua kuungana na guardian of the galaxy inaonekana kama ameiyacha kabisa
Kwenye marvel cinematic Universe guardian of the galaxy bado wana kimbembe kizito kwa sababu kama unakumbuka vol 2 inaisha Yule queen wa ile planet ambao wametengeneza uadui ametengeneza dangerous weapon something like humanoid kweny end credit scene tunaona hio silaha yake alioiumba anaiita Adam hapo sasa sjui kama Thor atakuwepo kweny hio guardian mpya maana next villan wa guardian of galaxy ni balaaa
Mkuu halafu ule mpango uliishia wapi naona una madude matamu sana. Bado upo maeneo ya huku?Watch if you dare....
Sikutaka hata kuimaliza maana inasisimua..inastor tofauti tofauti, inahusu watu wenye matatizo ya akili..
Tkuio 1.
Jamaa alimuona mtu kachora tatoo akaipenda, akamvizia akamuua akampeleka kwake. Tatoo ilikua kifuani hvo akakata ile nyama yenye tatoo afu nae akajichana kifuani...akachukua ile ngozi ya tatoo akaishona bila ganzi kifuani. Mweeeh si pakaanza kuoza baada ya siku akawa anafikicha mausaa na kidole. Hapo hapo niliistopisha na kuifuta kabisa.
Napenda burudani nikiwa nacheki muvie sio kuogopa
Ingia hadi kweny ukurasa wa google pale kwa ku Search andika index of movie na muvi unayoitaka search zitakuja link nyingi utachagua yeyote uta downloadHii jf sometimes kutumia shida..anyway mi nataka kujua jinsi ya kudownload movie google unafanyaje
Dominion hi series sijawahi kuielewa lengo lake..
Eti malaika Mungu alipotea malaika Mikael akaja kuwalinda binaadamu afu Malaika Gabriel ndio adui...kabisa Malaika Gabriel cheo chake na heshima alio nayo anaweza kuchezwa kama adui???
Mkuu ule mpango hautawezekana maana nishatoka huko kitambo sana toka july 28...Niliibiwa simu siku ile asee wahuni walizama wakanyunyuzia sumu nikalala oama nimekufa. Nguo na simu walibeba kama zakwao. Siipendi Dar kwa hiki.Mkuu halafu ule mpango uliishia wapi naona una madude matamu sana. Bado upo maeneo ya huku?
Mkuu ule mpango hautawezekana maana nishatoka huko kitambo sana toka july 28...Niliibiwa simu siku ile asee wahuni walizama wakanyunyuzia sumu nikalala oama nimekufa. Nguo na simu walibeba kama zakwao. Siipendi Dar kwa hiki.
Hii niliocheki 2016 nikaona haina isue..nikafutilia mbalio..Hiyo series nilichekigi epsode sijui mbili tu au tatu nikaona upuuzi tu.
Mkuu endgame inaishia Thor kamuoa/kamfanya Queen of Asgard vile kuungana nikukualert kwamba muvi itakayo fuata basi watakua pamoja ila sio kwamba kaiacha Asgard. Japo jamaa ni mtu wa visanaga ila kipindi hiki inabidi aplay role of King maana yeye ndio kabakia (Mind you Loki hajafa)..Good news nikua Grandmaster anaweza kuwemo kwenye Thor na GoG vol3 nampenda sana huyu jamaa...
Kweli Akina Quill wanakisanga kizito...Ila watakua na God of thunder hakuna kitakacho haribika.
Mbaya halafu imepoaHiyo series nilichekigi epsode sijui mbili tu au tatu nikaona upuuzi tu.
Nina hakika hapo nyingi nimezicheki maana nilikuwa na movie 700+Hii niliocheki 2016 nikaona haina isue..nikafutilia mbalio..
2019/18 ninazo muvi 200
Za kuanzia 2017 hadi miaka hiyo zipo kama 100+
Nikikupa pc yangu utashindwa uchukue muvi ipi uache ipi
Kuendelea kuwepo kwa Loki kutakuwepo kwa Theory 2Haha [emoji23] hatari kwelikweli
Halafu sasa kweny endgame walivyo go back in time walifanya interference
moja mbaya Sana Kama uli note Loki alikuwa kashikwa wakafanya upuuzi akaa escape kijanja bila wao kujua
Na kweny hizi theory za time machines na hata hizi movie zinazohusu time traveling uki go back in time ukafanya uzembe wowote katika matukio yako lazima utaleta outcome tofauti in future mostly dangerous
Ngoja tuone watakuwa wameharibu wapi
Maybe maana hzo ni zilizoko kwenye pc bado kwenye external afu na animation.Nina hakika hapo nyingi nimezicheki maana nilikuwa na movie 700+
Sema movie nyingi za kuanzia mwaka jana mwishoni na mwaka huu ndio sina.
Pia series nyingi sana sina. Napenda za kizungu za kikorea mimi kwa kweli zimenipitia kushoto.
Wakorea series zao naona hawatumii akili kubwa.Maybe maana hzo ni zilizoko kwenye pc bado kwenye external afu na animation.
Hata mm wakorea hapana
Ila Wazungu bhana! Sijui walifikiria nini mpaka wakatunga hiyo season. Kuna kipindi Dean alimega mpaka Malaika.Ni kwel kabisa na bado inaeendelea 2019 hapa ilipofikia God anaonekana Kama mkosefu
Ila Wazungu bhana! Sijui walifikiria nini mpaka wakatunga hiyo season. Kuna kipindi Dean alimega mpaka Malaika.
Kwa google ninavyojua ni kuingia google play movies ambayo hii ni ya kwenye simu.Hii jf sometimes kutumia shida..anyway mi nataka kujua jinsi ya kudownload movie google unafanyaje
Iliishia season twoHivi "witches of the eastern end" imefika season ya ngapi?