Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Hii ilikuwa ya moto sana
images.jpeg
 
Mimi Ninautafuta sana wimbo wake mmoja unaitwa Mbadi Coco ,,nimeutafuta sana bila mafanikio, vipi wewe unao mkuu?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app

Hakuna nyimbo inaitwa hivyo nafikiri unamanisha Mbadi Mawe nakuwekea hiyo nyimbo
 

Attachments

Back
Top Bottom