Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Usilete ubaguzi kwenye biashara tafadhali, hiyo kitu haikubaliki popote pale duniani... kama mtu amependa gari iliyo tangazwa, atapewa data ya ziada baadaye kwamba mmiliki ni wa kabila au rangi and jinsia gani...na hapo mwenyewe muuzaji ana haki ya kumjulisha kwamba, kwa mfano, ilikuwa ni ya mchina fulani, na huwa wachina hawatunzi magari kwa sababu wanaagiza spare feki kutoka kwao ilimradi wa save pesa na siku zisogee..

I hope I'm clear, kwani sio wahindi au wanawake wote ni watunzaji wazuri wa magari na sio waswahili au wanaume wote ni waharibifu wa magari...

Lets change our mindsets... its high time...
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Kwa niaba ya wengine waliokwazika na hili naomba unisamehe mkuu. Ni ujinga mkubwa nimefanya ndugu zangu, na nikikosea tena msisite kunisahihisha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…