mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hyo passo ya 4.5 Nipe data zake zaidiNi sifa ya zaida kwenye uuzaji wa gari, ikiwa ya mhindi au ya Ke, inamaanisha imetunzwa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo passo ya 4.5 Nipe data zake zaidiNi sifa ya zaida kwenye uuzaji wa gari, ikiwa ya mhindi au ya Ke, inamaanisha imetunzwa
Kula 5.5 mkuu cashToyota Ist kali ya mhindi
1290CC
Bei:7M
Mawasiliano :0689699704![]()
![]()
![]()
nicheki whatsappHyo passo ya 4.5 Nipe data zake zaidi
Ova
Hailipi mkuu gari nzima sanaKula 5.5 mkuu cash
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Kwa niaba ya wengine waliokwazika na hili naomba unisamehe mkuu. Ni ujinga mkubwa nimefanya ndugu zangu, na nikikosea tena msisite kunisahihisha.Usilete ubaguzi kwenye biashara tafadhali, hiyo kitu haikubaliki popote pale duniani... kama mtu amependa gari iliyo tangazwa, atapewa data ya ziada baadaye kwamba mmiliki ni wa kabila au rangi and jinsia gani...na hapo mwenyewe muuzaji ana haki ya kumjulisha kwamba, kwa mfano, ilikuwa ni ya mchina fulani, na huwa wachina hawatunzi magari kwa sababu wanaagiza spare feki kutoka kwao ilimradi wa save pesa na siku zisogee..
I hope I'm clear, kwani sio wahindi au wanawake wote ni watunzaji wazuri wa magari na sio waswahili au wanaume wote ni waharibifu wa magari...
Lets change our mindsets... its high time...
Mkuu ongeza picha za ndani, im interested kabla hatujaanza kuongea bei. Pia mileage yakeLandcruiser V8
Mwaka:2014
Petrol
30000km
Bei:USD50000
Mawasiliano :0689699704![]()
Hizi hapa mkuu, mileage ni 30000kmMkuu ongeza picha za ndani, im interested kabla hatujaanza kuongea bei. Pia mileage yake