Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu ukiwa na muda nicheck gari zifuatazo no d bajeti yangu ni 8.59M na ziwe na km chini ya 90000. 1. TOYOTA RACTIS 2. TOYOTA IPSIUM, TOYOTA WISH(7SEATERS) NA IST BLACK AU NYEUPE 2005 MODEL. NITARUDI HAPA LEO SAA NNE USIKU
Unajua mkuu hata ukitaka kua unaweza weka vigezo hata vitano lakini ni ngumu kukidhi vyote.
Gari zipo, kwanza hii hapa Toyota wish, model 2005,cc1790,mileage 77000kms bei imeanza 9M lakini kwa mazungumzo naamini itafika8.5M ,contact 0689699704
 
Mkuu nikiwa na 25M naweza kupata Harrier Old Model (2L) na IST au CAMI zenye akili... Namba zisiwe chini ya DJ..
Inawezekana mkuu japo ongezeko la 1.5M mpaka 1M kwenye hiyo budget linaweza lisiepukike.
Nimepata hii Harrier ni 5s engine, bei yake ni 18M, sasa ukichanganya na hii Ist hapo itafika 27,sasa baada ya hapo tunaingia kwenye negotiation kujitahidi tufike hapo 25M au angalau tukaribie. Hii ni 5s kama itakupendeza pamoja na hiyo Ist nyeusi tuanze mchakato
 
mkuu hii prado tx ni ya mwaka gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…