Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
5k engine, haina 4wd, huyu mama alinunua kwajili ya biashara ya maji akagundua baadae hizi gari sio nzuri kwa biashara hiyo.
Kwahiyo kaamua kuuza akiwa ameitumia kwa miezi michache sana.
Mie nataka gari ya kusaidia nyumbani pesa ya mboga. Gari imara isiyo sumbua on performance na durability.
Naomba nishauri
 
Mie nataka gari ya kusaidia nyumbani pesa ya mboga. Gari imara isiyo sumbua on performance na durability.
Naomba nishauri
Sijajua pesa ya mboga yako ni kiasi gani ila kama ni ile uliyosema 12M nadhani Noah old model yoyote itafanya vizuri, zipo sr40 kama mpya kabisa kwahiyo bei
Nadhani vizuri uje whatsapp nikupatie chaguzi tofauti uchague
0689699704
 
Mark X
Mwaka :2005
2490CC
Bei :15M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180112-WA0397.jpg
IMG-20180112-WA0398.jpg
IMG-20180112-WA0400.jpg
IMG-20180112-WA0401.jpg
IMG-20180112-WA0403.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom