Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

Nani mkali kati ya Denzel Washington na Samuel Jackson?

  • Total voters
    34
  • Poll closed .
Denzel unamlinganishaje na Mtu mwenye kithethe...
Napenda tusi la samuel jackson "Madhaf...[emoji1787][emoji1787]"
Duuh kwamba kile cha Samuel nacho ni Kithethe, sema jamaa kweli scripts zake nyingi zimekaa kihuni ila wote wako vizuri kulingana na roles wanazocheza, kuwalinganisha ni sawa na kumlinganisha winger na defender kwenye mpira kiujumla
 
Man on Fire.....Denzel yuko vizuri. Jana na juzi nimerudia The Equalizer sequel
 
mpambo ni mkali sana ila naamini hata Samuel angemchagua Denzel
fan fact Denzel ni mtu wa Tabora sikonge mpaka leo mzee wake yupo ipole sikonge pale kwa mgana washington
 
Duuh kwamba kile cha Samuel nacho ni Kithethe, sema jamaa kweli scripts zake nyingi zimekaa kihuni ila wote wako vizuri kulingana na roles wanazocheza, kuwalinganisha ni sawa na kumlinganisha winger na defender kwenye mpira kiujumla
Sawa sawa ..umeongea sahihi
 
Kwangu Mimi wote wawili ni zaidi.

When I want to be good basi Denzel ndio model yangu lakini if I want to terrorize peace I take Samuel any time.

Wote wanaziwakirisha vizuri characters zao.
 
Movies za danzel Zina critical thinking, za Samuel ni za kujifunzuia kutukana ini English
 
Duuh kwamba kile cha Samuel nacho ni Kithethe, sema jamaa kweli scripts zake nyingi zimekaa kihuni ila wote wako vizuri kulingana na roles wanazocheza, kuwalinganisha ni sawa na kumlinganisha winger na defender kwenye mpira kiujumla
Msikilize akitamka S mkuu na sh
 
Nje ya mada😉
Nikiambiwa kati ya hao wawili mmoja awe “Mubaba” chap sipotezi muda🥰🥰

Sijui mnanielewa lakini…😉
 
Back
Top Bottom