Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Mm DJ mack Na afro ndio nawakubali tu, lufufu simwelewagi kabisa..
Wewe itakuwa bado bwana mdogo sana ndio maana umuelewi lufufu lukomabambija mzee wa mpulutulizo

Enzi hizo tv hakuna sio siku hizi hata kwenye simu unaangalia muvi

Nowadays siwezi kuangalia muvi iliyotafsiriwa hata kama lugha ngeni natafuta subtitle ya English basi plus kwanza quality zao huwezi kuangalia kwenye 4k
 
Kiongozi mm muvi nimeanza kuangali kitambo Niko mdogoo, lufufu simwelewi coz anatafsiri vitendo badala ya maneno
 
Kuna mkorea flani yupo kwenye movie za RED na GI JOE nae yupo vizuri kwenye kupiga
Kiongozo nipe update za avangers4 maana nimepata habari za kushtusha mtima wangu
 
Nimeshindwa kuatach tweet
Chris Evans Kasema hayumo A4 pia hatcheza tena kama Captain America
😳😳 nilidhani utaongelea Hulk hatihati kutolewa avengers!..
Hiyo mpya kwangu!. Ngoja niifatilie.
 

LUFUFU MKANDALA HABAR NYINGINE ILE UTAFURAHI AKITIA MANENO KWENYE MOVIES ZA JACK CHAIN
 
Hivi ameoa huyu
 
mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe

ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Michael Jay White kafanana na 50 cent au sio huyo?
 
Nimeshawah kuiona mkuu
 
Kiongozi mm muvi nimeanza kuangali kitambo Niko mdogoo, lufufu simwelewi coz anatafsiri vitendo badala ya maneno
Sasa kama ulianza kumuangalia lufufu ukiwa mdogo ulianzaje kujua kama anatafsiri vitendo badala ya maneno halafu kama kumbe unajua ni vitendo badala ya maneno sasa unaangalia movie za kutafsiriwa za nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…