silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 833
- 813
Bado ni acting tu. Peleka sloo mosheni hizo vids uone uongo wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mkorea flani yupo kwenye movie za RED na GI JOE nae yupo vizuri kwenye kupigaLufufu..
Wewe itakuwa bado bwana mdogo sana ndio maana umuelewi lufufu lukomabambija mzee wa mpulutulizoMm DJ mack Na afro ndio nawakubali tu, lufufu simwelewagi kabisa..
Kiongozi mm muvi nimeanza kuangali kitambo Niko mdogoo, lufufu simwelewi coz anatafsiri vitendo badala ya manenoWewe itakuwa bado bwana mdogo sana ndio maana umuelewi lufufu lukomabambija mzee wa mpulutulizo
Enzi hizo tv hakuna sio siku hizi hata kwenye simu unaangalia muvi
Nowadays siwezi kuangalia muvi iliyotafsiriwa hata kama lugha ngeni natafuta subtitle ya English basi plus kwanza quality zao huwezi kuangalia kwenye 4k
Mbaya zipi hizo?Kiongozo nipe update za avangers4 maana nimepata habari za kushtusha mtima wangu
Hazina Mkong'oto au?Yupo vizuri ila hizo Merantau na The Raid-part 1 zinaboa hazivutii
😳😳 nilidhani utaongelea Hulk hatihati kutolewa avengers!..Nimeshindwa kuatach tweet
Chris Evans Kasema hayumo A4 pia hatcheza tena kama Captain America
Labda niwe nimeelewa vibaya😳😳 nilidhani utaongelea Hulk hatihati kutolewa avengers!..
Hiyo mpya kwangu!. Ngoja niifatilie.
Wewe itakuwa bado bwana mdogo sana ndio maana umuelewi lufufu lukomabambija mzee wa mpulutulizo
Enzi hizo tv hakuna sio siku hizi hata kwenye simu unaangalia muvi
Nowadays siwezi kuangalia muvi iliyotafsiriwa hata kama lugha ngeni natafuta subtitle ya English basi plus kwanza quality zao huwezi kuangalia kwenye 4k
Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
Michael Jay White kafanana na 50 cent au sio huyo?mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe
ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Yule msenge yule dah hadi nilikuwa naomba Mungu apigwe kidogoKanapiga vibaya haka kajamaa sijapata on a, niliona jau kuweka picha zake
Nimeshawah kuiona mkuuHapana na uwezo binafsi unachangia kiasi kikubwa, jamaa yuko bomba Mimi naona hakuna MTU aside hangaika behind the scene mwangalie jack C, donie, the rocky, etc Scot naona alikua hajapata muvi kubwa za kumtoa kama ilivyo kwa Iko Uwais.
Kaangalie muvi moja Inaitwa Kuala Lumpur Gangsters (KL gangster) ya Malaysia.starling anapiga mkono hataree. Mwanzo nilikua najua ni Iko Uwais
Sasa kama ulianza kumuangalia lufufu ukiwa mdogo ulianzaje kujua kama anatafsiri vitendo badala ya maneno halafu kama kumbe unajua ni vitendo badala ya maneno sasa unaangalia movie za kutafsiriwa za niniKiongozi mm muvi nimeanza kuangali kitambo Niko mdogoo, lufufu simwelewi coz anatafsiri vitendo badala ya maneno
ameigiza muvi ganiYule msenge yule dah hadi nilikuwa naomba Mungu apigwe kidogo
Tayari na ana watoto wawiliHivi ameoa huyu
Lee Byung Hun, yupo vizuri kuna series yake mpya inaitwa Mr SunshineKuna mkorea flani yupo kwenye movie za RED na GI JOE nae yupo vizuri kwenye kupiga