Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Mm DJ mack Na afro ndio nawakubali tu, lufufu simwelewagi kabisa..
Wewe itakuwa bado bwana mdogo sana ndio maana umuelewi lufufu lukomabambija mzee wa mpulutulizo

Enzi hizo tv hakuna sio siku hizi hata kwenye simu unaangalia muvi

Nowadays siwezi kuangalia muvi iliyotafsiriwa hata kama lugha ngeni natafuta subtitle ya English basi plus kwanza quality zao huwezi kuangalia kwenye 4k
 
Kiongozi mm muvi nimeanza kuangali kitambo Niko mdogoo, lufufu simwelewi coz anatafsiri vitendo badala ya maneno
 
Kuna mkorea flani yupo kwenye movie za RED na GI JOE nae yupo vizuri kwenye kupiga
Kiongozo nipe update za avangers4 maana nimepata habari za kushtusha mtima wangu
 
Nimeshindwa kuatach tweet
Chris Evans Kasema hayumo A4 pia hatcheza tena kama Captain America
😳😳 nilidhani utaongelea Hulk hatihati kutolewa avengers!..
Hiyo mpya kwangu!. Ngoja niifatilie.
 
Wewe itakuwa bado bwana mdogo sana ndio maana umuelewi lufufu lukomabambija mzee wa mpulutulizo

Enzi hizo tv hakuna sio siku hizi hata kwenye simu unaangalia muvi

Nowadays siwezi kuangalia muvi iliyotafsiriwa hata kama lugha ngeni natafuta subtitle ya English basi plus kwanza quality zao huwezi kuangalia kwenye 4k

LUFUFU MKANDALA HABAR NYINGINE ILE UTAFURAHI AKITIA MANENO KWENYE MOVIES ZA JACK CHAIN
 
Hivi ameoa huyu
Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
 
mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe

ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Michael Jay White kafanana na 50 cent au sio huyo?
 
Hapana na uwezo binafsi unachangia kiasi kikubwa, jamaa yuko bomba Mimi naona hakuna MTU aside hangaika behind the scene mwangalie jack C, donie, the rocky, etc Scot naona alikua hajapata muvi kubwa za kumtoa kama ilivyo kwa Iko Uwais.

Kaangalie muvi moja Inaitwa Kuala Lumpur Gangsters (KL gangster) ya Malaysia.starling anapiga mkono hataree. Mwanzo nilikua najua ni Iko Uwais
Nimeshawah kuiona mkuu
 
Kiongozi mm muvi nimeanza kuangali kitambo Niko mdogoo, lufufu simwelewi coz anatafsiri vitendo badala ya maneno
Sasa kama ulianza kumuangalia lufufu ukiwa mdogo ulianzaje kujua kama anatafsiri vitendo badala ya maneno halafu kama kumbe unajua ni vitendo badala ya maneno sasa unaangalia movie za kutafsiriwa za nini
 
Back
Top Bottom