Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ya muda kidogo lakini nzuriHii sijaiona aisee
yes yes huyo huyooo!Anaitwa Michael Jai White
Blood and bone? Jamaa moja kavimba hivi?
kaka muanzisha mada?Huyu kaka ana vituko sanaa
Anaemuongeleakaka muanzisha mada?
Michael J white muvi inaitwa Blood and bornmtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe
ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Alikuwa anapiga ngumi zenye ujazo wa tani mojaMichael J white muvi inaitwa Blood and born
Toka mtoto sikuwahi wapenda watafsiri movie sijui kwanini!..Pole sana kama ulikua humjui..
DJ Afro ndie kanifanya nitafute muvi za huyu MTU...
Ni yupi nilisikia ashakufa?.Mm DJ mack Na afro ndio nawakubali tu, lufufu simwelewagi kabisa..