Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Bado sana cox ukiangalia hao malegend wamepitia long way mpaka kufikia hapo,jamaaa yuk vzur but hyo level ajafikia
Ukiangalia umri bado upo bombs na uwezo anao so atafika mbali..
 
Michael Jai White na Boyka rank yao ni kiboko mazee kwa maoni yangu ingawa huyo uwesu nae chipukizi ila bado haezi kuta vipaji vya wazee Jet li, Don yen, Jackie Chan wala Bolo Yang
 
Kumbe huyu ndo aliyeeact Man of Tai Chi!!.. Yupo vizuri aseh!..
Ingawa nilipenda Keane angeshinda lile pambano 😀
 
mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe

ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Michael J white muvi inaitwa Blood and born
 
Yupo vizuri ila hizo Merantau na The Raid-part 1 zinaboa hazivutii
 
Kumbe huyu ndo aliyeeact Man of Tai Chi!!.. Yupo vizuri aseh!..
Ingawa nilipenda Keane angeshinda lile pambano 😀
Pole sana kama ulikua humjui..
DJ Afro ndie kanifanya nitafute muvi za huyu MTU...
 
Back
Top Bottom