Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

Charlie Pride umemsahau na kitu chake Kiss an Angel good morning
 

Denoo49 yuko sahihi, hao ni waimbaji na wanazo nyimbo nyingi sana. Wewe ulikuwa unapendelea nyimbo gani nzuri za hawa specifically?

Usiwe mkali kihivyo.
 

Naunga mkono au sitoi shilingi kwako
 
Last edited by a moderator:
Hakuna nyimbo hata moja ya Kenny Rodgers ambayo sijaipenda pia Dolly Parton na Don Williams nawaelewa sana. Kifupi country music ni music flani hivi mzuri utaenjoy zaidi kusikiliza ukiwa unadrive masafa ya mbali yani stress zote pembeni
 
naona mpo na country za enzi hizo tu wakuu,kuna country zozote nzuri za karne hii ya 21???
 
Nashangaa hata mtoa mada kwenye "top ten" yake hajamuweka the legendary Jimmy Reeves!!!

Hawezi kumfahamu Jim Reeves huyo, kwani alifariki 1964!

Na Charley Pride ambaye ni black american wa kwanza kuimba country music. His biggest hit "Kiss an angel good morning"
 

Huyo ni Master Don Williams, ni nyimbo ya zamani sana huwezi kuamini lakini naikumbuka kwenye 1983 miaka hiyo niko maulaya.
 
kuna mwanadada anaitwa Crystal gayle na kibao chake why have u left the one u left me for.
Randy Travis na kitu yake Honky tonk

john denver
roger miller na kitu you are my sunshine
doug supernaw na dont call him daddy
allan jackson na kitu murder on country row
charley pride na kitu kiss an angel gud morning
billy jo spears na sing me an old fashioned,blanket on the ground.
Lila Mccan
kitty wells
na wengne kibao.
 
Hawezi kumfahamu Jim Reeves huyo, kwani alifariki 1964!

Na Charley Pride ambaye ni black american wa kwanza kuimba country music. His biggest hit "Kiss an angel good morning"

kuna wimbo wake mwingne unaitwa all i have to offer u is me ni mzuri sana.na she's an old love turned memory
 
My favorite kwa Bellamy brothers ni let your love flow jamaniiiii naupenda

'if i said u had a beautiful body would u hold it against me'.ni kibao chao kingne kikali hao jamaa aisee.
 
Dolly parton..its my time...dah ilikuwa inaniliwaza sana nlivyo tendwa na kipenz
 
'if i said u had a beautiful body would u hold it against me'.ni kibao chao kingne kikali hao jamaa aisee.
Hicho kikipigwa naacha kwanza kitu chochote nitachokua nafanya. Hata kama ni.....!
 
21 country singer best kwangu ni Darius Rucker jamaa yuko njema, plus Dixie Chick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…