denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Nyimbo za jumapili asubuhi. ukisikiliza hizo jumapili yako huanza poa sana. Tulivu mno
Na zaidi zaidi uzisikilize mwezi wa kumi na mbili majira yetu yale..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo za jumapili asubuhi. ukisikiliza hizo jumapili yako huanza poa sana. Tulivu mno
Ahahahah, mi na wewe tena, mbona huwa ni zaidi ya peace and love. Si etii kipenzi.?
Lakini yote kumi hizi ndio nyimbo za burudani tuluvi. We yupi unamkubali sana hapo?
Skiter Davis
Hivi kwa wamama kuna zaidi ya Dolly parton kweli..? Kwenye hizi nyimbo za country
Mother Chuma huyo. Mi nilianza kumfahamu kupitia wimbo moja "I got you to night" aliimba na Kenny 1980's. She is the best really.
Kwelii,, wimbo ake wa "coat of many colors" huwa unanipa raha saana na nyinginezo pia..she's the best mama!!!
Her songs are too practical.
Kuna wimbo analalamika asichukuliwe mume wake.
Upi huo mkuu!!?
Mmewataja karbia wote lakini sija muona mtu anamtaja Charley Pride
Jamaa yupo fit nina collection yake moja naisikiliza sana
Msikilize kwenye
Someone loves you honey
Is anyone going to
Mississippi cotton
I don't think she is in love with you
I made love with you in my mind
Nadhani ni wimbo unaitwa jolene
Umepatia mkuu.
Kwa sasa natafuta modern country music.
Kuna hii pia ina itwa
~ i'm so afraid of loving you again
~chain of love
Jamaa yupo vzur