Jamani π ππMnashauriana ujinga wanawake, mnaharibu wanaume na ma vitambi, wakifika miaka 42 chali, tendo hawawezi wanaanza kula matakata.
Wanawake mnapenda kula mno matakata, hakuna afya, mnakuwa wakubwa kama nyumba, tukichepuka kelele.....
Asante sana. Umenifanya nitamani ndizi kwa picha yako. Huweki maji hata kidogo?Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi
Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu
Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike
Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa
Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi
View attachment 2766244
Katika vitu siwezi kula ni hicho, uharam mwingine wote naweza fanya ila huo niliaminishwa toka tumboni siweziiπ€£Nakuapia utakula tu
πππ umeona na wewe?Mwisho naweza shushia na kinywaji baridiiiii kabesaaa!
Nimagine huo utamu wake!
Jamani π ππ
Kuna vyakula Ving vya kuongeza stamina kwenye tendo na vina faida kiafyaMnashauriana ujinga wanawake, mnaharibu wanaume na ma vitambi, wakifika miaka 42 chali, tendo hawawezi wanaanza kula matakata.
Wanawake mnapenda kula mno matakata, hakuna afya, mnakuwa wakubwa kama nyumba, tukichepuka kelele.....
Good recipe
Aaliyahh yuko vizure sana kwenye hio sekta uduguuu.. ukienda kwake utafurahi mbonaa!! Afu anapenda sana kupika kuku yaniii kwake ni wewe na tumbo lako tu!!πππ umeona na wewe?
Yaani liyah mie anielekeze kwake nikajifunze mapishi ninakoelekea nitatia aibu!
Na wakwe wa siku hizi wana gubu km hujui kupika π€£π€£π€£
Sawa ila hiyo sio meal plan ya siku nzima ni mlo mmoja na viungo vilivyotumika vinafaida kiafya maybe matumiz ya mafuta lkn sio lazima unywe na soda unaweza ukanywa na chai yenye tangawiz,pilipili manga na mdalasini ukasolve matatizo mengine kma unayo wakat unaenjoy chakula kizuriJaman ya nn? Machakula gani hayo? Haya ndo ma chakula mnatupikia? Hamjui yanapunguza uwezo na afya?
Recipe niliitoa kwa foodlovers insta....ni balaaaIyo ndo kiboko Yani unaweza ukala had ukalamba sahaniππ
Mamaang Kila ukimuuliza kuhus chips anakwambia pika zile za kuchanganya na nyama sijui zina kauleviππ
Sawa ila hiyo sio meal plan ya siku nzima ni mlo mmoja na viungo vilivyotumika vinafaida kiafya maybe matumiz ya mafuta lkn sio lazima unywe na soda unaweza ukanywa na chai yenye tangawiz,pilipili manga na mdalasini ukasolve matatizo mengine kma unayo wakat unaenjoy chakula kizuri
Wa ndizi πUtam wa nini tena madamπ€£
Ila haitofautiana Sana na makange ukitoa hz ndz....Bas Hongera
Kwann nisipende ndiz? Ndo chakula mzeeCha ajabu kuna midume nayo inapenda NDIZI