Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Mnashauriana ujinga wanawake, mnaharibu wanaume na ma vitambi, wakifika miaka 42 chali, tendo hawawezi wanaanza kula matakata.

Wanawake mnapenda kula mno matakata, hakuna afya, mnakuwa wakubwa kama nyumba, tukichepuka kelele.....
Jamani 😂 😂😂
 
Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi

Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu

Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike

Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa

Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi

View attachment 2766244
Asante sana. Umenifanya nitamani ndizi kwa picha yako. Huweki maji hata kidogo?
 
Mnashauriana ujinga wanawake, mnaharibu wanaume na ma vitambi, wakifika miaka 42 chali, tendo hawawezi wanaanza kula matakata.

Wanawake mnapenda kula mno matakata, hakuna afya, mnakuwa wakubwa kama nyumba, tukichepuka kelele.....
Kuna vyakula Ving vya kuongeza stamina kwenye tendo na vina faida kiafya
Muhimu mhusika ajue kuandaa kuanzia breakfast had dinner na akapka Kwa ustadi mzuri na lengo likafikiwa 😂😂😂
 
😋😋😋 umeona na wewe?
Yaani liyah mie anielekeze kwake nikajifunze mapishi ninakoelekea nitatia aibu!
Na wakwe wa siku hizi wana gubu km hujui kupika 🤣🤣🤣
Aaliyahh yuko vizure sana kwenye hio sekta uduguuu.. ukienda kwake utafurahi mbonaa!! Afu anapenda sana kupika kuku yaniii kwake ni wewe na tumbo lako tu!!
 
Jaman ya nn? Machakula gani hayo? Haya ndo ma chakula mnatupikia? Hamjui yanapunguza uwezo na afya?
Sawa ila hiyo sio meal plan ya siku nzima ni mlo mmoja na viungo vilivyotumika vinafaida kiafya maybe matumiz ya mafuta lkn sio lazima unywe na soda unaweza ukanywa na chai yenye tangawiz,pilipili manga na mdalasini ukasolve matatizo mengine kma unayo wakat unaenjoy chakula kizuri
 
Iyo ndo kiboko Yani unaweza ukala had ukalamba sahani😀😀
Mamaang Kila ukimuuliza kuhus chips anakwambia pika zile za kuchanganya na nyama sijui zina kaulevi😀😀
Recipe niliitoa kwa foodlovers insta....ni balaaa
 
Sawa ila hiyo sio meal plan ya siku nzima ni mlo mmoja na viungo vilivyotumika vinafaida kiafya maybe matumiz ya mafuta lkn sio lazima unywe na soda unaweza ukanywa na chai yenye tangawiz,pilipili manga na mdalasini ukasolve matatizo mengine kma unayo wakat unaenjoy chakula kizuri

Nimekuelewa Mama yangu.
 
Jamani 😋😋😋
Hapo nashushia na ka wine huku namsubiri Mangi
Hiyo nitaifanya jpili nione km itatokea km yako.🤣🤣🤣
Hahha huyo mangi vipi
Fanya dear utaweza nakuaminia 😍
 
Back
Top Bottom