Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Ataniganda, sitaki kugandwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndingo on fleek 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️!
 
Mwehu we 🤣🤣🤣
 
Mama chanja knows it better just like you do!
Sema tasty foods zinaniletea uzito mkubwa sana kadiri umri wangu unavyosogea
Uwe unatumia chai ya tangawiz,mdalisin,iriki na pilipili manga asubuhi na usiku,usiku ni nzuri baada ya mlo husaidia sana kuyeyusha mafuta mwilin
Nikitulia nitashare na hiyo
 
Ndizi zinanoga ukipika na nyama ya kitimoto hizo zingine ni mbwembwe tu😋
 
Uwe unatumia chai ya tangawiz,mdalisin,iriki na pilipili manga asubuhi na usiku,usiku ni nzuri baada ya mlo husaidia sana kuyeyusha mafuta mwilin
Nikitulia nitashare na hiyo
Barikiwa nitajaribu kutumia hizo ! I am the " i love to eat" diet man!! ila kwa miaka ya karibuni imekuwa ikinigharimu kuongezeka uzito
 
Back
Top Bottom