Wapenzi wa nyama, pombe na ngono tukutane hapa

Wapenzi wa nyama, pombe na ngono tukutane hapa

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha. Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasahau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali.

Kama tuna share the same interest hebu tujumuike aisee.
 
chair fire na ndizi zakutosha plus safari baridi 🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
Sitosema napenda kipi zaidi kati ya hivyo tajwa ila mimi pia ni mwanachama hai kabisa.
Tujaage wanawanee
 
Back
Top Bottom