Wapenzi wa nyama, pombe na ngono tukutane hapa

Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha.
Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasshau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali.

Kama tuna share the same interest hebu tujumuike aisee.
💯🤝
 
Kitimoto kavu plus ndizi[emoji23] na siku hizi kuna hii wanaita hennessy pori aka hanson choice umix na coca baridi [emoji39] acha kabisa
 
Back
Top Bottom