Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
💯🤝Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha.
Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasshau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali.
Kama tuna share the same interest hebu tujumuike aisee.
Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha.
Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasshau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali.
Kama tuna share the same interest hebu tujumuike aisee.
HaswaaaaaaMuzik mzuri Kwa Sauti yake
Utatoboa kizazi cha mtoto wa mwenzioKitimoto kavu plus ndizi[emoji23] na siku hizi kuna hii wanaita hennessy pori aka hanson choice umix na coca baridi [emoji39] acha kabisa
Ukuje basi MremboHaswaaaaaa
Za Roma Mkatoliki zinakula banCCM inapenda mada kama hz.
Kuna nini tena?Nimetetemeka hadi kitovu
Utatoboa kizazi cha mtoto wa mwenzio
Wasukuma wanasema walwa, nyoo na nyamaSitosema napenda kipi zaidi kati ya hivyo tajwa ila mimi pia ni mwanachama hai kabisa.
Tujaage wanawanee
Nipe mdogo ake mama J mkuu
Rusha basiUzi mtamu kama huu
kukosa picha ni kosa kubwa Sana[emoji4]