Wapenzi wa perfume za Tom Ford. Ipi ni the best kati ya hizi?

Hahahaha ila wewe Mwanamke wa kitanga balaa lako sio dogo

Zamani ilikuwa waja leo warudi leo

Siku jizi waja leo kurudi majaliwa na wala nguo hazilowekwi kwenye maji...

Unapulizwa sikioni huku unaulizwa kwa mnong'ono nini unapendelea kati ya uliyoandaliwa, mwenyewe unauza tiketi ya kurudi ama unabadili tarehe urudi baadavya wiki kama si mwezi 😛.

Inaitwa voluntary kidnapped 😉.
 
Unakula kwa kiasi kesho nayo ni siku...
Kama enzi zileee za kula mchanga kwa kuuchimbachimba, kula mbakishie baba, kula mbakishie baba, atayeangusha kijiti lwakee ama laah awe na mbio kweli kweli.

Ukila kwa kufakamia rahisi sana kusababisha majeruhi.

Usijali elimu haina mwisho.
Watoto wa afu mbili haya mambo hawayawezi ndo maana mishangazi MTA Baki kuwa JUU
 
Tumia fucking fabulous.....hiyo nibalaa kuanzia bei mpaka na harufu yake
 
1. Black orchid
View attachment 3170243

2. Ombre leather
View attachment 3170246

3. Oud wood

View attachment 3170247

Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.

black orchid. hii ni unisex lakini imeegemea upande wa kike kuliko wa kiume.
alternatives 1. oud 24 hours by ard al Zaafarani

tobacco vanille
alternatives
1. tobacco touch by Maison Alhambra
2. Charutto tobacco vanille by paris corner
3. Amber Oud Tobacco Edition Al Haramain Perfumes

Ombre leather
alternatives
1. Amber & Leather by Maison Alhambra

oud wood - ila sikishauri kwa sababu performance yake ipo chini halafu ni ya muda kdg since 2007

alternatives
1. Woody Oud by Maison Alhambra

Bei ya hizo alternatives zinarange kwenye 30k mpaka laki wakati Tom Ford zinacheza kwenye 500k mpaka milioni

Hizo alternatives zinafanana dna na original Tom Ford kwa karibu asilimia 80 na nyingine zinaperform vizuri kuliko Tom Ford zenyewe.

Tukirudi kwenye swali lako mie natumia na wife Tom Ford bitter peach na lost cherry kwa sababu zote ni unisex.
 
Hii Amber & Leather by Maison Alhambra, naweza kuipata duka gani kwa Dsm?
 
Nakunywa madafu yaliyochanganywa na mdalasini, hata mkojo unatoka unanukia spices, kule chini ndo usiseme vanilla si vanilla, chungwa si chungwa mradi tuu vurugumechi 🙂.
Hakyamama huyu bibi Kasie anafanya tutende dhambi tu,IMAGINATION zitaniua
 
black orchid. hii ni unisex lakini imeegemea upande wa kike kuliko wa kiume.
alternatives 1. oud 24 hours by ard al Zaafarani

tobacco vanille
alternatives
1. tobacco touch by Maison Alhambra
2. Charutto tobacco vanille by paris corner
3. Amber Oud Tobacco Edition Al Haramain Perfumes

Ombre leather
alternatives
1. Amber & Leather by Maison Alhambra

oud wood - ila sikishauri kwa sababu performance yake ipo chini halafu ni ya muda kdg since 2007

alternatives
1. Woody Oud by Maison Alhambra

Bei ya hizo alternatives zinarange kwenye 30k mpaka laki wakati Tom Ford zinacheza kwenye 500k mpaka milioni

Hizo alternatives zinafanana dna na original Tom Ford kwa karibu asilimia 80 na nyingine zinaperform vizuri kuliko Tom Ford zenyewe.

Tukirudi kwenye swali lako mie natumia na wife Tom Ford bitter peach na lost cherry kwa sababu zote ni unisex.
Performance ya perfume za kiarabu ni ndogo, haziwezi kukaa 12 hours.
 
Performance ya perfume za kiarabu ni ndogo, haziwezi kukaa 12 hours
katika pita pita zako ukipata nafasi omba kutest hizi perfumes.

1. Shaghaf oud swiss Arabian

2. Amber oud gold edition Alharamain

3. house Amouage

4. club de Nuit intense men

5. Badee al oud

6. Sharaf blend

7. afnan 9pm

8. Shaghaf oud aswad

usiposikia harufu ndani ya masaa 24 njoo unijulishe nifute hii post
 
Mambo ya mkoleni haya aka jando na unyago.

Wanawake wa ki-Tanga hoyeeee....!
Mapenzi himaaa 🤪
Mahaba juuu...😁.

Halafu huwa tunamalizia kwa kusingwa kwa asali ya vuguvugu kule maeneo haswa siku ukiwa umetoka kufyeka msitu. Basi uwanja unabaki mlainiii, mtekeee, mtamuuuu, mnatonato unaanzia hapa juujuu akiingia ndani unasikia mtu .....

Mamaaa nimekomaa, mamaa sirudii tenaaa, wee mwanamke utaniuwa weweee, mbona sishibi...😜.
Nimecheka sanaaaa aiseee!
Tangaaaa hiyo kama naiona!

Nipandie Racto au Tashirifu? Nipitie njia ya BAGAMOYO au Chalinze!

Nipite wami, Mkata, Kabuku,Segera, hale, muheza, pongwe!

Nishukie stendi ya Kange au niende kushukia mjini? Au nishukie kwaminchiii?

Hahaha nishukie Barabara ya 13 au Mkwakwani pale Racto? Tangaa rahaaaa nyie basi tu!
 
Aahahahahahaaa looh wee mzabzab unaonesha nimmwenyeji wa Tanga na viunga vyake si bure...!!!😅😅😅😅

No wonder ni kibamia maana kitakuwa kimechongwa na vichongeo vingi vya Tanga, yumkini vita ya majimaji ushaizoea....🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😆😆😆😆😆.

Ila fanya hivii, ukipata wasaa, shukia Handeni. Utapata vya chukuchuku, nguo hazirowekwi ila utajikuta una work from Tanga for four days....🤣🤣🤣🤣🤣.

Tanga Rahaaa....🥰🥰🥰😍.
 
Hahahahaha ntake radhiiiiiii!
Mimi imamu mskiti wa chumbageni kuleeeee!

Handeni hiii? Nipitie wapi ? Niende mpk Korogwe afu ndo niende Handeni

Au nirudi mpk mkata njia panda? Unakuja Kwamsisi weye?

Ambiwaaaaaaaaaa! Tanga ndo nyumbani!
Tunakula urojo na chips za kuku wa kubanika pale forodhaniii!

Tukiskia joto hapoo raskazone beach kuogelea ... Soko la uzunguni twaenda nunua viungo vya chai!

Aaaah hukujui huko deep sea! Mama ntile una mpa buku, anakula ugali, maharagwe nazi, chuzi la samaki nazi, kipande Cha papa au upewe uwono wa kukangaa?

Mboga ya majani, tembele limekolea limaoooo! Afu Bado akupepeaaa ukiwa una kulala 😂

Baada ya swala mie hupo uhuru park kariba na ofisi za Simba mtoto naenda kunywa kahawa
 
Loooh ujue sikuwa nimevaa miwani kabla, imebidi niichukue nisome upya.

Mara ya kwanza macho yaliona ninayesemezana nae ni Papa mzabzab huyu ndo mkuu wa kibamia.

Kumradhi kusoma jina vibaya kombania moja Makutupora aka Dodoma moja 😉.

Weyeee waonekana Tanga waijua chocho zote kunizidi. Mie sina la kuongeza zaidi ya kwenda barabara ya saba kufata mikate ya kumimina kwa mama Amina.

Nsalimie wa Makorola hapo, mewamisii.
 
Back
Top Bottom