Hahahaha ila wewe Mwanamke wa kitanga balaa lako sio dogo
Watoto wa afu mbili haya mambo hawayawezi ndo maana mishangazi MTA Baki kuwa JUUUnakula kwa kiasi kesho nayo ni siku...
Kama enzi zileee za kula mchanga kwa kuuchimbachimba, kula mbakishie baba, kula mbakishie baba, atayeangusha kijiti lwakee ama laah awe na mbio kweli kweli.
Ukila kwa kufakamia rahisi sana kusababisha majeruhi.
Usijali elimu haina mwisho.
1. Black orchid
View attachment 3170243
2. Ombre leather
View attachment 3170246
3. Oud wood
View attachment 3170247
Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.
Hii Amber & Leather by Maison Alhambra, naweza kuipata duka gani kwa Dsm?black orchid. hii ni unisex lakini imeegemea upande wa kike kuliko wa kiume.
alternatives 1. oud 24 hours by ard al Zaafarani
tobacco vanille
alternatives
1. tobacco touch by Maison Alhambra
2. Charutto tobacco vanille by paris corner
3. Amber Oud Tobacco Edition Al Haramain Perfumes
Ombre leather
alternatives
1. Amber & Leather by Maison Alhambra
oud wood - ila sikishauri kwa sababu performance yake ipo chini halafu ni ya muda kdg since 2007
alternatives
1. Woody Oud by Maison Alhambra
Bei ya hizo alternatives zinarange kwenye 30k mpaka laki wakati Tom Ford zinacheza kwenye 500k mpaka milioni
Hizo alternatives zinafanana dna na original Tom Ford kwa karibu asilimia 80 na nyingine zinaperform vizuri kuliko Tom Ford zenyewe.
Tukirudi kwenye swali lako mie natumia na wife Tom Ford bitter peach na lost cherry kwa sababu zote ni unisex.
Hakyamama huyu bibi Kasie anafanya tutende dhambi tu,IMAGINATION zitaniuaNakunywa madafu yaliyochanganywa na mdalasini, hata mkojo unatoka unanukia spices, kule chini ndo usiseme vanilla si vanilla, chungwa si chungwa mradi tuu vurugumechi π.
Kazi ya perfume sio kukata jasho, you people need to learn personal hygiene.Out of topic: Ndimu inata shombo...
Ukiitumia ipasavyo, hunuki kwapa wala jasho.
Performance ya perfume za kiarabu ni ndogo, haziwezi kukaa 12 hours.black orchid. hii ni unisex lakini imeegemea upande wa kike kuliko wa kiume.
alternatives 1. oud 24 hours by ard al Zaafarani
tobacco vanille
alternatives
1. tobacco touch by Maison Alhambra
2. Charutto tobacco vanille by paris corner
3. Amber Oud Tobacco Edition Al Haramain Perfumes
Ombre leather
alternatives
1. Amber & Leather by Maison Alhambra
oud wood - ila sikishauri kwa sababu performance yake ipo chini halafu ni ya muda kdg since 2007
alternatives
1. Woody Oud by Maison Alhambra
Bei ya hizo alternatives zinarange kwenye 30k mpaka laki wakati Tom Ford zinacheza kwenye 500k mpaka milioni
Hizo alternatives zinafanana dna na original Tom Ford kwa karibu asilimia 80 na nyingine zinaperform vizuri kuliko Tom Ford zenyewe.
Tukirudi kwenye swali lako mie natumia na wife Tom Ford bitter peach na lost cherry kwa sababu zote ni unisex.
katika pita pita zako ukipata nafasi omba kutest hizi perfumes.Performance ya perfume za kiarabu ni ndogo, haziwezi kukaa 12 hours
Nimecheka sanaaaa aiseee!Mambo ya mkoleni haya aka jando na unyago.
Wanawake wa ki-Tanga hoyeeee....!
Mapenzi himaaa π€ͺ
Mahaba juuu...π.
Halafu huwa tunamalizia kwa kusingwa kwa asali ya vuguvugu kule maeneo haswa siku ukiwa umetoka kufyeka msitu. Basi uwanja unabaki mlainiii, mtekeee, mtamuuuu, mnatonato unaanzia hapa juujuu akiingia ndani unasikia mtu .....
Mamaaa nimekomaa, mamaa sirudii tenaaa, wee mwanamke utaniuwa weweee, mbona sishibi...π.
Nimecheka sanaaaa aiseee!
Tangaaaa hiyo kama naiona!
Nipandie Racto au Tashirifu? Nipitie njia ya BAGAMOYO au Chalinze!
Nipite wami, Mkata, Kabuku,Segera, hale, muheza, pongwe!
Nishukie stendi ya Kange au niende kushukia mjini? Au nishukie kwaminchiii?
Hahaha nishukie Barabara ya 13 au Mkwakwani pale Racto? Tangaa rahaaaa nyie basi tu!
Hahahahaha ntake radhiiiiiii!Aahahahahahaaa looh wee mzabzab unaonesha nimmwenyeji wa Tanga na viunga vyake si bure...!!!π π π π
No wonder ni kibamia maana kitakuwa kimechongwa na vichongeo vingi vya Tanga, yumkini vita ya majimaji ushaizoea....πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπππππ.
Ila fanya hivii, ukipata wasaa, shukia Handeni. Utapata vya chukuchuku, nguo hazirowekwi ila utajikuta una work from Tanga for four days....π€£π€£π€£π€£π€£.
Tanga Rahaaa....π₯°π₯°π₯°π.
Hahahahaha ntake radhiiiiiii!
Mimi imamu mskiti wa chumbageni kuleeeee!
Handeni hiii? Nipitie wapi ? Niende mpk Korogwe afu ndo niende Handeni
Au nirudi mpk mkata njia panda? Unakuja Kwamsisi weye?
Ambiwaaaaaaaaaa! Tanga ndo nyumbani!
Tunakula urojo na chips za kuku wa kubanika pale forodhaniii!
Tukiskia joto hapoo raskazone beach kuogelea ... Soko la uzunguni twaenda nunua viungo vya chai!
Aaaah hukujui huko deep sea! Mama ntile una mpa buku, anakula ugali, maharagwe nazi, chuzi la samaki nazi, kipande Cha papa au upewe uwono wa kukangaa?
Mboga ya majani, tembele limekolea limaoooo! Afu Bado akupepeaaa ukiwa una kulala π
Baada ya swala mie hupo uhuru park kariba na ofisi za Simba mtoto naenda kunywa kahawa