Wapenzi wa push-ups & squats

Napiga mara moja moja push up, 200, usiku, squat, 100. Nimezeeka now days. Wakati wa ujana wangu, nikiwa chuo, nilikuwa napiga push up, 500 kila siku jioni na squat 300
 
Imekaa poa sana hii mkuu. Me kwa upande wangu now napiga push 600 per morning na squat 500 plus kata tumbo naenda round 20x10=200 every morning
We Jamaa kama unapiga vizuri hizi pushup, utakuwa na kifua na mkono wa hatari. Mimi chuoni walikuwa wananiita kifua chuma. Pushup ilinikolea balaa.
 
,
Leo siku ya nne ya zoez ila naona push-up zinazid kupungua saiz siend zaid ya kumi kwa awamu moja na hii kitu squart naona kama n kwa wadada tuu mana naona Kuna kitu kama baba au mwanaume naona itaniathiri
Ahahahahaa we jamamaa , emu tumia ata ii mitandao ya kijamii ingia ata YouTube utajua humuim wa squart Kwa men.
 
Napiga mara moja moja push up, 200, usiku, squat, 100. Nimezeeka now days. Wakati wa ujana wangu, nikiwa chuo, nilikuwa napiga push up, 500 kila siku jioni na squat 300
Squart kila siku vp mguu ilikuwa haiumi.
 
Ho
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…