Napiga mara moja moja push up, 200, usiku, squat, 100. Nimezeeka now days. Wakati wa ujana wangu, nikiwa chuo, nilikuwa napiga push up, 500 kila siku jioni na squat 300Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona
Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni pushups kwa kujenga mwonekano wa juu wa mwili , na squarts kwa kujenga mwonekano wa chini wa mwili
Wapenzi wa mazoezi hayo karibuni mtuambie ulianzaje kupiga push-ups na unamudu kupiga pushups ngapi, squarts ngapi na utimamu wa mwili wako ukoje.
Karibuni