korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Push ups 300+ kila sikuKama ilivyo Ada ya wanajf kujimwambafy yaani kila mtu anapiga push up 200 wengine wameenda mbali mpka 600 [emoji23][emoji23]
Usisahau na yafwatayo:-Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona
Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni pushups kwa kujenga mwonekano wa juu wa mwili , na squarts kwa kujenga mwonekano wa chini wa mwili
Wapenzi wa mazoezi hayo karibuni mtuambie ulianzaje kupiga push-ups na unamudu kupiga pushups ngapi, squarts ngapi na utimamu wa mwili wako ukoje.
Karibuni
Jump squats nagonga 200-250 na umbo la mapaja limebadilikaUsisahau na yafwatayo:-
Better sex workout:
Plank for 20 seconds.
Glute bridges for 15 reps.
Jump squats for 10-15 reps.
10 Kegels with 5-10 second holds.
Pushups for 10-15 reps.
Pigeon pose, holding for 1 minute on each side.
Mweh!Push ups zangu..50 kila asubuhi
View attachment 1693532
😂😂😂😂 Uzembe huoMweh!
Mimi mwanaume ila push up 5 tu nahisi kama nimepata 'tatizo la kupumua'
Mazoezi kipaji mazee 😂😂😂😂😂😂 Uzembe huo
😂😂 KwakweliMazoezi kipaji mazee 😂😂
Kula protinMsaada wenu wadau...Nishapiga sana pushups zaidi ya miaka miwili sasa lakini mabadiliko hamna,Mwili umegoma kabisa kujengeka siyo mikono wala kifua(chest), Nimejaribu kudownload video za YouTube za mazoezi lakini hamna matokeo bado Nina uwembamba uleule ni kitu inanitesa sana...Nataka mwili uongezeke kidogo ili hata nguo zinikae vizuri NiFanye nini?
Siyo mwanasayansi sana, protein unamaanosha vyakula gani mkuu?Kula protin
Kuna unga wa protin unauzwa,unasaidia mwili kujaa...Siyo mwanasayansi sana, protein unamaanosha vyakula gani mkuu?
Naomba jina lake mkuu au wapi naweza kuipataKuna unga wa protin unauzwa,unasaidia mwili kujaa...
Labda Mungu aingilie katiKwasababu ya uchovu na uvivu mkubwa basi naoiga push up tano tu kila siku sijui kutakua na matokeo kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mazoezi ni moja ya maisha yangu, chumba changu ndio uwanja wa mazoezi.
Nyie wanaume wa Dizzim fanyeni mazoezi