Wapenzi wa push-ups & squats

Wapenzi wa push-ups & squats

Kama ilivyo Ada ya wanajf kujimwambafy yaani kila mtu anapiga push up 200 wengine wameenda mbali mpka 600 [emoji23][emoji23]
Push ups 300+ kila siku
Capture%2B_2021-01-30-13-20-30~4.jpg
 
Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona

Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni pushups kwa kujenga mwonekano wa juu wa mwili , na squarts kwa kujenga mwonekano wa chini wa mwili

Wapenzi wa mazoezi hayo karibuni mtuambie ulianzaje kupiga push-ups na unamudu kupiga pushups ngapi, squarts ngapi na utimamu wa mwili wako ukoje.

Karibuni
Usisahau na yafwatayo:-

Better sex workout:

Plank for 20 seconds.

Glute bridges for 15 reps.

Jump squats for 10-15 reps.

10 Kegels with 5-10 second holds.

Pushups for 10-15 reps.

Pigeon pose, holding for 1 minute on each side.
 
Jump squats nagonga 200-250 na umbo la mapaja limebadilika
Plank nafanya 40 seconds
Buttock brigdes x 30
Abnormal crunches 100
Heel touch 50
Leg raises 50
Bicycles crunches 48
Side planks 20 seconds each side
Side push ups 20 each side
Cobra stretch
Russian twists
Etc
 
Mazoezi ni moja ya maisha yangu, chumba changu ndio uwanja wa mazoezi.

Nyie wanaume wa Dizzim fanyeni mazoezi
 
Mwaka 2017 nilikua siwezi kupiga push ups ata 3 ila sasahiv napiga 45 bila kupumzika pia nazunguka uwanja mara 15 nonstop dah Mazoez mazuri jamani.🦾
 
Msaada wenu wadau...Nishapiga sana pushups zaidi ya miaka miwili sasa lakini mabadiliko hamna,Mwili umegoma kabisa kujengeka siyo mikono wala kifua(chest), Nimejaribu kudownload video za YouTube za mazoezi lakini hamna matokeo bado Nina uwembamba uleule ni kitu inanitesa sana...Nataka mwili uongezeke kidogo ili hata nguo zinikae vizuri NiFanye nini?
 
Kula protin
 
Back
Top Bottom